Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Mkuu Mk,

Ahsante sana kwa kuleta habari motomoto za maendeleo ya mkoa wa Njombe na wilaya zake.

Ni jambo la kujivunia kwa wapenda maendeleo kama mimi kuona kwamba mkoa wajitahidi mno kujiletea maendeleo kwa kutumia ubunifu maarifa na jitihada dhahiri.

Ila kwa ushauri napendekeza tovuti ya mkoa kuboreshwa zaidi na kila kitu kuwekwa humo ili iwe rahisi kwa wale wawekezaji wa nje waweze kupata taarifa zote muhimu.

Baadae ntapendekeza kuwepo na semina za aina mbalimbali za kuhamasisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…