Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

kesi ilimshinda mwendazake baada ya kuona ushahidi ni fyongo hauko vzr, mama akalishwa matango akakubali na kuidanganya dunia kuwa mbowe ni gaidi

Free Freman
Sukuma GANG wamebaki serikalini, wamemuanguashia jumba bovu. Anashituka kachelewa.
Namchukia sana hiki kibibi cha kiarabu.
 
Huyu mama yenu akija kushtuka ataelewa amezungukwa na wapambe waliojaa unafiki! huku wakimuaminisha maadui wake ni upinzani.

Jiwe alidhani maadui zake ni kina Mbowe ila kumbe waliomzunguka ndio walikua maadui zake wakuu..

Je mshawahi kujiuliza why yule jamaa aliweza kupata access ya medical sensitive medical information ya kuwa Jiwe ana pacemaker?
 
Yuko busy na CHADEMA digital.
 
Anaenda kulala chumba kingine,na uzuri,mazingira Yana mruhusu kulala hata mchana !!!!!
Ukijua majukumu ya rais huwezi kuyasema hayo.

Hana mazingira yanayomruhusu "kulala mchana," hata hiyo usiku hana haki ya kulala.
 
Samia aliteua DPP wake ndio akamshtaki Mbowe kwa hii kesi, sio DPP wa Magufuli (Biswalo Mganga)
Sasa ni jumba bovu kivipi wakati DPP ni wa Samia?
Ofisi ya DPP ipo kabla ya wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…