Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

Zitto ni punguani usikute anawaonea wivu dikteta samia suluhu hassan na mcharuko Dr gwajima kudhalilishwa pengine anataka yeye ndio angedhalilishwa,you never know pengine ingekuwa ni mtaji kwake kisiasa,kuna tujitu tupumbavu sana humu sayarini tulimo.
 
Zitto alishapotea kwenye medani za siasa na yeye analitambua hilo
 
Siyo ''kudharirisha'' ni kudhalilisha. Tena unarudia mara mbili mbili. Sijui kwa nini watu wasiojua kuandika maneno ya kiswahili mara nyingi mada zao zinakuwa za kipumbavu! Kuna correlation kubwa sana kati ya IQ na uwezo wa mtu kuandika. Ulisoma shule gani ambayo ulimaliza mpaka darasa la saba huku hujui kuandika neno rahisi kabisa.
 
Hakuna mwanasiasa ndani ya nchi hii asiye mnafiki.

Hata Madam President naye ni mnafiki tu kama wengine. Anajifanya ana huruma, macho ya upole, sauti ya kubembeleza, lakini kwa ndani ni ana roho ngumu kuliko Jiwe.

Matendo ya Serikali yake yanajionesha yeye ni mtu wa namna gani. Tozo, inflation rate, kesi za ugaidi n.k.
 
Watu ambao kwa Tanzania hutakiwi kuwaamini saaana
1.Mwanasiasa
2.Watu wa Kigoma
3.Wachaga
4.Wasukuma
5.Wagogo
6.Wanyakyusa
7.Wahaya
8.Wasomi hasa Maprofesa na Madokta PhD
9.Wasanii hasa bongo Muvi
10.Wamakonde.
Hapo namba 10 umegusa penyewe, hao jamaa ni vigeugeu sijapata kuona
 
Tuache unafiki wake ila hoja yake si unaona iko vizuri?
 
Tuhuma anazohusianishwa nazo Gwajiboy kwenye kadhia hii, wewe huzioni?

Vipi Sirro naye hazioni?

Gwajiboy amewatuhumu SSH na vigogo kadhaa hadharani kwa rushwa.

Gwajiboy hapaswi kutakiwa kuthibitisha tuhuma zake?
Weka sheria inayomtaka waziri kuamrisha mbunge(hata kama mbunge aliyeiba kura) kukamatwa?
 
Nani atamfunga paka Kengele,, ikiwa wote walipita kwenye uchaguzi kwa njia haramu
 
Ni kweli IGP amevunja sheria ya Public Health na amekaidi agizo la bosi wake. AJIUZULU AU RAIS AMFUKUZE.
Nitamshangaa Sana Rais asipomfukuza Kazi huyu,Trump alikuwa anakufukuza peupe live bila chenga.
 
Hata mimi namshangaa ujue unatakiwa ujiamini na uwe jeuri ukiwa mwoga watakuyumbisha Sana,asipomfukuza huyu IGP nitampuuza rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…