Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Ulianza vizuri weee mwishoni ndio umeonyesha UJINGA NA UPUMBAVU wako wote.

Hata kama humpendi mtu sio kumsjngizia vitu vya uongo. Kibongo bongo Zito bado yupo kwenye chati ya wanasiasa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry kama nimetumia Lugha kali nisamehe, Ila Zitto Kabwe anatakiwa abadilike Siasa zake hazitoi dira nzuri kwa vijana, haswa michezo ya amberut
 
Ma dikteta hua hawafi kwa magonjwa kama shinikizo la damu au cancer au sukari. Hua wanakufa vifo vya kudhalilisha sana (Saddam Hussein alinyongwa, Muamar Gaddafi alijificha kwenye kalavati la maji akapigwa risasi mtaani).
Wacha nikusaidie basi: Nikolai Cescescu alipigwa risasi siku ya Christmas 1989, Samwel Doe alikatwakatwa vipande 1992, Iddi Amin alikufa hovyo Saudi Arabia, Jean Bedel Bokasa alifungwa maisha central Africa akaachiwa akafa kihoro, Mobutu alikufa na kuzikwa na watu wachache Morroco ,

JPM anafanya kazi nzuri sana zinazo onekana kwa macho na kushikika na kutembea nchi nzima kwa gari na kuonana na wananchi, msimuweke kundi hilo jamani !
 
Ila unamjua vzuri huyo Zitto? Kifupi tu kwa kkusaidia Usalama yupo kazini ndugu yetu Erick Kabendera Familia yke inapata Tabu saizi unajua Nani na Nani walikuwa nyuma yke kwenye kumshawishi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea zamani watawala mafedhuli waliamini kwamba;njia pekee na nzuri ya kuwatiisha na kuwaogofya ni pamoja na kuwaua ama kuwatesa vikali.
Siku hizi watu wenye busara waliishatambua kwamba hizo ni njia za kijinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!

Huu mwaka wa uchaguzi tutasikia mengi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Looks like defamation!
 
Sorry kama nimetumia Lugha kali nisamehe, Ila Zitto Kabwe anatakiwa abadilike Siasa zake hazitoi dira nzuri kwa vijana, haswa michezo ya amberut
We umemdhalilisha kwa hiyo anaytakiwa akupeleke mahakamani ili uthibitishe kama kweli analawatiwa.
 
Kwani wanayoyafanya akina Kacheche kukusanya viwanja siyo kosa ni sawa tu. Kabwe Mburula kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…