Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Nimesoma mara mbilimbili naona upuuzi mtupu!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama mods mmeuona huu uzi lakini kwa kuwa una harufu ya mkono wa chama its OK. Uruhusuni uendelee ila nadhani Zito alipofikia, haya maneno ya khanga sio saizi yake. Sidhani atapoteza mda hata sekunde kuyaangalia mapuuzi ka haya.
Simpendi Zito ila namchukia mwandishi huyu mpuuzi kihivi. Na kama ni mwanachama wa chama changu nadhani Pole anastahili kumtafuta na kumng'oa kabisa hata hiyo page aliyoandikwa ichomwe moto. Tunataka mashindano ya points siyo matusi ya kipuuzi. Kama kazi yako weye ni kufanywa hayo, basi usitangaze humu JF
 
Siwezi kumbishia Zitto maana hata Lissu kabla hajafyatuliwa lisasi alieleza kuwa anafuatiliwa, na huyo jamaa wa huko Rombo Mashati wa chadema aliyepotea kabla hajapotea alisema humh humu jukwaani zaidi tulimbeza lakini mpaka sasa hivi hatujui alipo.....Mungu lisaidie Taifa letu tunakuomba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunajiheshimu saana na kinachopostiwa unatakiwa kukifanyia utafiti, na uanzie kubisha hapo kwani wewe umekurupuka angalia ulichoandika na nilichoandika, unaonekana huna staha.
Nimekueleza tuliza akili zako rudia kusoma na fanyia utafiti kwa namna unavyohisi.
JF ni mahala pa kushauliana na kurekebisha tabia chafu. Zitto anatumia mitandao mingine hayupo hapa sana labda rafiki yake aitwaye Mogha. Ila kwaajili ya Siasa kuna Watu ningewataja lakini anaweza kujinyonga.
Kwenye utafiti wako anza kwa Baba Levo muulize aliahidiwa nini akiwa Gerezani na baada ya kutoka Gerezani amekikuta kipi, Muulize rafiki yake waliyeshirikiana kupiga madili na aliyekuwa na Ratiba ya Zitto aende wapi kwenye Kampeni za 2015 muulize baada ya kufungwa ni kitu gani kilimkuta.
Tushauliane na tuelimishane tabia za Zitto hazitakiwi kuigwa Kabisa, na ukimweka karibu lazima akumalize Mfano Filik
 
Yes anaweza kuwa anayskatisha fedha jweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZZK,mchezea matope,huchafuka mikonoye.
Kama akishindwa kujiosha(kukiri na kuomba msamaha);huna budi kuoshwa hata kwa bomba la "Fire". Kwa maana hatua za Listeria dhidi yako zitachukuliwa dhidi yako hapo utakapobainika.Jirekebishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haitashangaza maana kuna wengine si tu kuwekwa magerezani bali wamepotezwa kabisa. Wanasema kichaa hana haya.
 
Haitashangaza maana kuna wengine si tu kuwekwa magerezani bali wamepotezwa kabisa. Wanasema kichaa hana haya.
Halafu aliyewapoteza anajitokeza hadharani anasema ukipotelewa na nduguyo mkosoaji wa serikali usiwatuhumu usalama wa taifa hata kama umewaona live wakimkamata
 
CCM acheni kuwaonea watanzania... acheni kutumia taasisi za umma kuwanyanyasa watanzania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…