Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

[emoji119][emoji119][emoji119]
_20200118_221027.JPG
 
Alichoandika Zitto kinawezekana kabisa kutokea. Huyo jamaa haamini katika uchaguzi huru na haki hata kidogo.

Kwa hiyo Zitto , Sugu na baadhi ya wengine kwenye majimbo korofi wajichunge maana malaika wa giza yuko kazini kuhakikisha wanakuwa nje ya bunge.
Tusubiri Bunge la Badget 20/21 ndiyo itatoa picha halisi ya awamu ya tano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakufa tena ghafla kwa shinikizo la juu la damu
I can't wait to hear that...natamani iwe week ijayo
P
 
Watu wamekuwa wasahaulifu sana hususan ss watz
Ila unamjua vzuri huyo Zitto? Kifupi tu kwa kkusaidia Usalama yupo kazini ndugu yetu Erick Kabendera Familia yke inapata Tabu saizi unajua Nani na Nani walikuwa nyuma yke kwenye kumshawishi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Juz tu zito altuhumiwa kuwavuruga cdm
Leo kawa shujaa

Juz tu lowasa altumiwa na ccm kuichezesha cdm
Leo Membe ambaye haina shaka kbx kuwa n mstaafu wa tiss eti ndo atatuvusha 2020

Wap?Nzani!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matusi ya nguoni hayakusaidii sana sana yanaonesha upumbavu wako!
 
Ulianza vizuri weee mwishoni ndio umeonyesha UJINGA NA UPUMBAVU wako wote.

Hata kama humpendi mtu sio kumsjngizia vitu vya uongo. Kibongo bongo Zito bado yupo kwenye chati ya wanasiasa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofisi nzima ya makao makuu ya Takukuru imehamia Kigoma?!!

Huu ni urongo!
Narudia tena na tena ! Nchi hii haijawahi kupata kiongozi wa upinzani mnafiki na muongo kama Zitto Zuberi Kabwe ! Hapo anatafuta huruma ya wanakigoma kumchagua tena 2020 elections baada ya ghilba zake kwa madiwani kigoma mjini kukwama !

Very bad politician!
 
Back
Top Bottom