goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Bado nipo mkuu. Njoo tuonane ntakupa jibu.Kwani wewe siku hizi hauko pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nipo mkuu. Njoo tuonane ntakupa jibu.Kwani wewe siku hizi hauko pale
Siku moja nilipata kukasirika lakini wewe umekasirika zaidi
Zitto angewashusha busha wote, kesho jumatatu wanaripoti ofisi za TAKUKURU wakiwa wamevaa msuli au kanzu. Hiyo ndio komesha yao.Watarogwa wote waamke wajikute wamelala chooni nashauri walejee dar! hahahaha.
Duuh hawa jamaa hata ivi zitto hawez kuwatengeneza mana wana polisi na mausalama.....hahaha just joke
Tusubiri Bunge la Badget 20/21 ndiyo itatoa picha halisi ya awamu ya tano.Alichoandika Zitto kinawezekana kabisa kutokea. Huyo jamaa haamini katika uchaguzi huru na haki hata kidogo.
Kwa hiyo Zitto , Sugu na baadhi ya wengine kwenye majimbo korofi wajichunge maana malaika wa giza yuko kazini kuhakikisha wanakuwa nje ya bunge.
Atakufa tena ghafla kwa shinikizo la juu la damu
I can't wait to hear that...natamani iwe week ijayo
Juz tu zito altuhumiwa kuwavuruga cdmIla unamjua vzuri huyo Zitto? Kifupi tu kwa kkusaidia Usalama yupo kazini ndugu yetu Erick Kabendera Familia yke inapata Tabu saizi unajua Nani na Nani walikuwa nyuma yke kwenye kumshawishi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe unauhakika wa kuwepo wiki ijayo? Za kushikiwa!I can't wait to hear that...natamani iwe week ijayo
Narudia tena na tena ! Nchi hii haijawahi kupata kiongozi wa upinzani mnafiki na muongo kama Zitto Zuberi Kabwe ! Hapo anatafuta huruma ya wanakigoma kumchagua tena 2020 elections baada ya ghilba zake kwa madiwani kigoma mjini kukwama !Ofisi nzima ya makao makuu ya Takukuru imehamia Kigoma?!!
Huu ni urongo!
Kama anatakatisha pesa asubiri kukaa lupango tu! Aache kulialia alipe kodi pesa anazopata toka mabeberu la sivyo ajiandaa tu na lupango!
Wacha nitabiri ! Wiki hii unakufa wewe ! 😎I can't wait to hear that...natamani iwe week ijayo