Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

Hiyo dhihaka ingesemwa na mtu kutoka Chadema ninavyokujua ungeanzisha Uzi mrefu sana. Kwa kuwa una chuki na Chadema unaona jambo la kawaida tuu kwa Zitto kumdhihaki Lissu.
Sina chuki na Chadema. Ila nijuavyo ukiwa na hoja kinzani na Chadema tayari wewe ni adui yao. Tutaijenga kupitia kuikosoa kwetu.
 
Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.

Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Acha ujinga wewe zito kafanya kusudi kabisa waziwazi akijua atakuja kutumia utetezi wakilema Cha mama akemzazi
 
Ameomba radhi jamani na ameiomba vizuri lipite hili tuachane Naldo. Maneno ni mengi Mtaani siku hizi kwa kweli.
 
Kwamba ampachike mtu jina pasipo kujua maana yake?
Kwa nini alichagua hilo jina asilolijua. Huwez kuchagua i jina bila kulenga kitu unless alijua hiyo maana nyingine ambayo hakuitaja. Mfano angesema Chinga ..
 
Ameomba radhi jamani na ameiomba vizuri lipite hili tuachane Naldo. Maneno ni mengi Mtaani siku hizi kwa kweli.
CCM wampe tu Zitto uo ukuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni sasa hivi, kumsubirisha 2025 ni kumtesa sana , keshachanganyikiwa tayari mapema hivi.
 
..Ni jambo la bahati mbaya sana Zitto kujihusisha na siasa za namna hii.
..Kwenye siasa it is ok to attack / make fun of your opponents character but not their physical disabilities.
..Nashauri Chadema wamsamehe Zitto Kabwe, lakini wawe makini naye. Zitto is out of control ktk kuitafuta na kuichokonoa Chadema.
Zitto ni mwanasiasa na ni public figure, kila alipo , anachofanya na kusema kinaangaliwa kwa mtazamo mpana na wa kina zaidi, ndivyo ilivyo! kwa maneno mengine 'Fame' inakuja na responsibilities na moja ya hilo ni kauli

Zitto alipaswa kujiridhisha neno analotumia, kwanza, anajua maana yake! na pili , anajua wapi pa kulitumia na kwa wakati gani. Amefeli katika hili.

Jiulize kama Chiba 'lingekuwa neno la mama'' hivi leo dunia ingemuelewaje.

Ni kwa bahati tu Chiba pengine halijulikani sana lakini uzito wake kwa kuangalia maumbile ya mwanadamu na mateso aliyopitia TL, ni tusi kubwa sana

Kumuona TL anatembea ni zawadi kubwa sana kwa mola! huyu mtu amepitia mazito yaisyosemekana.

Zitto where's your moral compass bro.

Ameomba msamaha, mjadala uishie hapa! kadri unavyozidi unaumiza watu wengi sana kuliko tusi lenyewe. Tufunge mjadala !
 
Hakuna cha mjadala kuisha, msituchukulie Poa hivyo. Kaomba radhi ili iweje ?! kuna kukubali au kuikataa hizo ”radhi magumashi” zake. Ashindwe na akome kabisa kabisa.
 
niliishasema humu hakuna watu wanafiki kama waha na wahaya na hawaaminiki hata siku moja na hata kubebeka hawabebeki hata ukiwa na mbeleko ya chuma.
Ili kumuenzi vyema Baba wa Taifa Mwl. Nyerere, Jamani tujitahidi sana kuliepusha hili jukwaa na michango yenye mwelekeo wa ukabila. Tafadhalini sana.
 
Yaani namshangaa sana, yaani atumie neno la mtaani asilolijua maana yake kweli?
 
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

Hahahaha sina mbavu kabisa. Zitto kiboko…
 
Hakuna cha mjadala kuisha, msituchukulie Poa hivyo. Kaomba radhi ili iweje ?! kuna kukubali au kuikataa hizo ”radhi magumashi” zake. Ashindwe na akome kabisa kabisa.
Hapa simuongelei Zitto au TL, bali madhara kusikotarajiwa ''spillover''

TL anaweza kuchukulia kirahisi tu kama sehemu ya siasa, lakini ukumbuke ana mke, watoto, ndugu wa damu, jamaa na marafiki. Hao wanaweza kutochukulia kirahisi na ndio tunalenga kuwapa faraja

Ifike mwisho ili wasiumie zaidi wasiohusika!

JokaKuu
 
Zitto credibility yake imeshuka sana.
Siasa bwana! Ni mwisho mbaya wa huyu jamaa.
 
Yeye na wasengerema wote wanaomtetea,subiri ile albadiri itawashughulikia mmoja mmoja mpaka mkome.Mnatia mtu kilema halafu mnaanza kumdhihaki.
 
Back
Top Bottom