Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.

Kazi za Magufuli zinaobekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wsmekalia maneno tu.

Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda na heshima yake kwa jamii.

Kununua mapanga boy
 
Halafu anajidai mchumi wakati hajui. Kuna kitu alisoma ujerumani ila matokeo hatujui. Nafikiri alifeli. Nachukia watu wanaojidai bure huku hawana uzalendo ni tumbo linawasumbua.
 
Kilipaswa kuendeshwa akiwa hai huku akiwa hana mamlaka ya kijeshi.
Kipindi akiwa hai iliogopwa JAMHURI sio yeye.
 
Kilipaswa kuendeshwa akiwa hai huku akiwa hana mamlaka ya kijeshi.
Kipindi akiwa hai iliogopwa jamhuri sio yeye.

Kama ndio hivyo sasa, wamuache sasa hayupo maana angekuwepo angebalance story kwa yeye kuhojiwa kuelezea hizi mambo..
 
Wewe dogo lazima ukubali kuwa nyakati zinabadilika.

Utakonda bure au kukosana na watu kwa mambo yaliyo pita kitambo.

Lazima ujue kuwa kwa sasa tupo na awamu ya 6.
Siyo Kila Homa Ni Malaria Bwana Machafuko
Mleta Mada Anawaza Mengi
 
Kwa hio sisi wote humu tumeangalia hicho kipindi? Amemchafuaje embu elezea hapa kinaga ubaga ili tujue isije ikawa amezungumza sifa zake ukaona kama amechafuliwa? Sema hapa amesemaje maana sisi wengine hatujaona hicho kipindi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…