Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tangu lini sukuma gang wakawa na weledi?Yaani kwa vile weqe hujafurahi, ndiyo serikali ichukue hatua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini sukuma gang wakawa na weledi?Yaani kwa vile weqe hujafurahi, ndiyo serikali ichukue hatua?
Salama na Zitto walichokifanya sio sahihi, leo ni kama waliamua kumchafua hayati magufuli kwenye kipindi chao, sijapenda kabisa, Serikali ichukue hatua haraka sana dhdi ya kipindi hiko na wahusika
Kwanini wewe usiwe ndiye dust bin?Zitto ni takataka kama zilivyo takataka zingine zilizoko dampo
Wanao mfuatilia wana tabia kama zakeWaache waongee...uzuri aliyekufa alishamaliza yake duniani...tuone watafika wapi hawa waliobaki
Edit: hivi kuna watu wanafuatilia vipindi vya luninga vya TZ zaidi Mpira na maigizo?
Nilikua hata sijui huyu dada ana kipindi
Nakuona unalazimisha legacywanahangaika sana na Hayati, sujui shida ni nn?au wameona bila kumchafua kick hazibambi?
They need to get over it and move on.
Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaobekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wsmekalia maneno tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda na heshima yake kwa jamii.
Ni zaidi ya hapoMkuu una uhakika na data zako? 6000km
Zitto unasumbuliwa na udini tu.
Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli
Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza
Tunawaambia kila siku Achaneni na marehemu kwani ni lazima tukiongea tumhusishe mtu aliyekufa tayari.
Hapo ni kabla ya mambo hayajakorogeka
Hayati anawahahisha watu mhaho usiopoa
Halafu anajidai mchumi wakati hajui. Kuna kitu alisoma ujerumani ila matokeo hatujui. Nafikiri alifeli. Nachukia watu wanaojidai bure huku hawana uzalendo ni tumbo linawasumbua.Zitto ni mwizi wa kisasa, nakumbuka enzi za akina Slaa Zitto alisumbua sana chadema, mpaka akina Slaa wakawa wanamkaimisha ofisi Myika, Mpaka akina Kikwete wakamsaidia kumfungulia chama ili kuigawanya chadema.Baati mzuri Magufuri alivyoingia tu madarakani alikuwa anajua mamluki wote, hivo mamluki wote aliwasagia kunguni,nandio chanzo cha Zitto kuanza chuki na Magufuri.Zitto ni tapeli wa siasa tu,yeye kuuza mechi ili mkono uende kinywani haoni asara
Kilipaswa kuendeshwa akiwa hai huku akiwa hana mamlaka ya kijeshi.Huu unafiki sana...haya sasa Salam balance story kwa kumtafuta huyo mnayemsema JPM aje naye atueleza kwanini alimchukia ZZK...
Hiki kipindi kilifaa kuendeshwa mwenyewe akiwa hai ili naye ahojiwe kubalance story vinginevyo ni upumbavu tu....PUMBAVU WOTE..
Alivyokuwa hai wote mlimuogopa, kuanzia wastaafu, wapinzani nk leo mnabwekabweka fighting with dead body....
Ndiyo Ukweli WenyeweMabaki ya nduli.
Zitto anatumia uhuru wake wa kuongea tuwe wapole tu
Zitto ni takataka kama zilivyo takataka zingine zilizoko dampo
Hayati alikuwa wa hovyowanahangaika sana na Hayati, sujui shida ni nn?au wameona bila kumchafua kick hazibambi?
They need to get over it and move on.
Kilipaswa kuendeshwa akiwa hai huku akiwa hana mamlaka ya kijeshi.
Kipindi akiwa hai iliogopwa jamhuri sio yeye.
Siyo Kila Homa Ni Malaria Bwana MachafukoWewe dogo lazima ukubali kuwa nyakati zinabadilika.
Utakonda bure au kukosana na watu kwa mambo yaliyo pita kitambo.
Lazima ujue kuwa kwa sasa tupo na awamu ya 6.