Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.

Kazi za Magufuli zinaobekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wsmekalia maneno tu.

Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda na heshima yake kwa jamii.

Kununua mapanga boy
 
Zitto ni mwizi wa kisasa, nakumbuka enzi za akina Slaa Zitto alisumbua sana chadema, mpaka akina Slaa wakawa wanamkaimisha ofisi Myika, Mpaka akina Kikwete wakamsaidia kumfungulia chama ili kuigawanya chadema.Baati mzuri Magufuri alivyoingia tu madarakani alikuwa anajua mamluki wote, hivo mamluki wote aliwasagia kunguni,nandio chanzo cha Zitto kuanza chuki na Magufuri.Zitto ni tapeli wa siasa tu,yeye kuuza mechi ili mkono uende kinywani haoni asara
Halafu anajidai mchumi wakati hajui. Kuna kitu alisoma ujerumani ila matokeo hatujui. Nafikiri alifeli. Nachukia watu wanaojidai bure huku hawana uzalendo ni tumbo linawasumbua.
 
Huu unafiki sana...haya sasa Salam balance story kwa kumtafuta huyo mnayemsema JPM aje naye atueleza kwanini alimchukia ZZK...

Hiki kipindi kilifaa kuendeshwa mwenyewe akiwa hai ili naye ahojiwe kubalance story vinginevyo ni upumbavu tu....PUMBAVU WOTE..

Alivyokuwa hai wote mlimuogopa, kuanzia wastaafu, wapinzani nk leo mnabwekabweka fighting with dead body....
Kilipaswa kuendeshwa akiwa hai huku akiwa hana mamlaka ya kijeshi.
Kipindi akiwa hai iliogopwa JAMHURI sio yeye.
 
Kilipaswa kuendeshwa akiwa hai huku akiwa hana mamlaka ya kijeshi.
Kipindi akiwa hai iliogopwa jamhuri sio yeye.

Kama ndio hivyo sasa, wamuache sasa hayupo maana angekuwepo angebalance story kwa yeye kuhojiwa kuelezea hizi mambo..
 
Wewe dogo lazima ukubali kuwa nyakati zinabadilika.

Utakonda bure au kukosana na watu kwa mambo yaliyo pita kitambo.

Lazima ujue kuwa kwa sasa tupo na awamu ya 6.
Siyo Kila Homa Ni Malaria Bwana Machafuko
Mleta Mada Anawaza Mengi
 
Kwa hio sisi wote humu tumeangalia hicho kipindi? Amemchafuaje embu elezea hapa kinaga ubaga ili tujue isije ikawa amezungumza sifa zake ukaona kama amechafuliwa? Sema hapa amesemaje maana sisi wengine hatujaona hicho kipindi..
 
Back
Top Bottom