Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Tumia akili hiko kichwa sio begi la menoWewe dogo lazima ukubali kuwa nyakati zinabadilika.
Utakonda bure au kukosana na watu kwa mambo yaliyo pita kitambo.
Lazima ujue kuwa kwa sasa tupo na awamu ya 6.
Sijui hizo shule zenu mlisomea wapi na nini haswaaaHahahaaaa......... Kangomba Mmawia!
Utaelewa tu maana ndiyo kwanza shughuli zinaanzaTumia akili hiko kichwa sio begi la meno
Hutaki kanywe wanzuki ulaleMnamshambulia mtu ambaye hawezi kujibu[emoji15]
Kama takataka wewe au?Zitto ni takataka kama zilivyo takataka zingine zilizoko dampo
Nakumbuka JK wakati anamaliza alimkabidhi kwa Magu ili aendelee kula.Wanafiki Kama Zitto Mwendazake alikuwa hawapendi.
Zitto ni mtu wa kufika Bei,ulikula vya Kikwete,kwa Jiwe ukaula wa chuya.
Unaonekana ni mwanamke mwenye gubu sanaUtaelewa tu maana ndiyo kwanza shughuli zinaanza
Wanasema kutesa kwa zamuMnamshambulia mtu ambaye hawezi kujibu😳
Vipi mega projects kama SGR, JNHPP, HOSPITAL ZAHANATI na VITUO VYA AFYA, madaraja ya kisasa kama kijazi, tanzanite, busisi, wami, kule uhasibu.?
Hilo ni swali linalolenga kuhamisha mjadala baada ya kuelewa ndugu mpinzani.Sasa kama unajua hilo, unalialia nini hapa?
Nakumbuka JK wakati anamaliza alimkabidhi kwa Magu ili aendelee kula.
Kumbe falsafa za Magu hazikuwa za kuneemesha mtu mmoja mmoja.View attachment 1982431
Hatukuona mradi wowote uliosimama from day one. Hayo unasema wewe. Kuchelewa kukamilika ni kawaida. Kibaya mradi kusimama kama ilivyosimama terminal 3 enzi za jk, Magu akaja kuifufua na kuimaliza. Ama ilivyosimama hospital ya rufaa Mara toka enzi za Nyerere Magu akaja kuifufua na kuimaliza kabisa.Hiyo SGR na SG mpaka anaondoka hakuwa amefikia hata robo ya mradi mmoja tena kwa kusuasua. Mfano SGR alisema kipande cha Dar-Moro kitakamilika Nov 2019, lakini mpaka sasa bado. Na dalili ya kukwama ilikuwa dhahiri kutokana na ukosefu wa fedha kutokana na utawala wa mabavu bila mbinu sahihi.
Kama walifaidika basi walijifaidisha wenyewe. Ila sio kwa kuletewa mezani kama JK alivyotaka Magu amletee zitto mezani.Akina Makonda, Sabaya na kundi lake la watu wasiojulikana nao hawakuwa wafaidika binafsi?
Je ambao hawakuwa wanafiki kama kina Lissu Mwendazake aliwapenda?Wanafiki Kama Zitto Mwendazake alikuwa hawapendi.
Zitto ni mtu wa kufika Bei,ulikula vya Kikwete,kwa Jiwe ukaula wa chuya.
Hatukuona mradi wowote uliosimama from day one. Hayo unasema wewe. Kuchelewa kukamilika ni kawaida. Kibaya mradi kusimama kama ilivyosimama terminal 3 enzi za jk, Magu akaja kuifufua na kuimaliza. Ama ilivyosimama hospital ya rufaa Mara toka enzi za Nyerere Magu akaja kuifufua na kuimaliza kabisa.
Matendo ya Rais sio siri. Yako katika kumbukumbu za nchi. Lazima yasomwe na kujadiliwa kwa uzuri na ubaya wake. Nyerere hadi leo anakosolewa kwa maamuzi yake ya vijiji vya ujamaa na utaifishaji wa shughuli zote kuu za uchumi. Hayuko kujibu wala majibu yake hayahitajiki.Mazuri yasemwe ila mabaya Nani atamjibia?
We kweli tindo..kwa hiyo vyombo vya habari kutokuwa huru ndio vinakuonyesha mfugale flyover, tanzanite bridge, daraja la kigongo busisi, mfugale flyover, hispital za rufaa mbeya, mtwara na mara?Hakukuwa na uhuru wa vyombo vya habari, ndio maana alifanikiwa kukulisha data za kupika. Anasema alijenga hospitali 67 na vituo ya afya 400+, je uliwahi kuona jedwali ya hivyo vituo, tarehe ya kuanza, thamani yake na vilipo?
walifaidika basi walijifaidisha wenyewe. Ila sio kwa kuletewa mezani kama JK alivyotaka Magu amletee zitto mezani.