Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kujua namna ugonjwa ulivyo mpaka usome? Wewe hujui dalili za malaria?Mbona Magufuli ye anajifanya anajua mambo ya corona na huku hajasomea Mambo ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujua namna ugonjwa ulivyo mpaka usome? Wewe hujui dalili za malaria?Mbona Magufuli ye anajifanya anajua mambo ya corona na huku hajasomea Mambo ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau Zitto kuliko MR NAJUA KILA KITU.Amepima mahindi akakuta hayana sumu?
Kenya inayo haki kulinda mipaka na raia wake.Mnamkosoa kwasababu kaenda kinyume na mnavyotaka,ila angekubaliana na Kenya walichofanya mgemsifia kutwa nzima.
Kwa hili, hata mimi namtilia shaka.ACT on transit to ccm.
Zitto ana maabara ya kupima ubora wa chakula?Mnamkosoa kwasababu kaenda kinyume na mnavyotaka,ila angekubaliana na Kenya walichofanya mgemsifia kutwa nzima.
Na wakati wanafanya hayo wananchi wake waendelee kutumia mahindi yenye sumu?Hayo si ndio ilibidi yafanywe na Kenya kabla ya kutoa katazo?
saaa hapo chadema imeingiaje?Nilisema Chadema lazima watabisha!
Mkuu heshima kwako,Barua gani tena?
Hakuna barua iliyotumwa Tanzania.
Labda useme hiyo ya malori yanayorundikana hapo Namanga, kama ndiyo unayaita barua.
Huu ni uhuni wa kipekee wanaofanya Kenya, na niuchokozi wa maksudi kabisa.
Unalinda "soko mhimu" huku mwenye soko akikutia vidole?Kiongozi wa Chama ndugu Zitto ameitaka Serikali kulinda soko hili kwa wivu mkubwa na amekemea tabia ya viongozi wa Serikali kuchukua maamuzi dhidi ya Kenya ambayo madhara yake ndio haya tunayoona sasa. Kenya na Tanzania ni ndugu na wanachama wa EAC hivyo mgogoro wowote utatuliwe kwa kutumia Itifaki ya Soko la Pamoja la EAC, alisisitiza.
Mbona nyie mlikuwa wa kwanza kuchoma vifaranga vya wakenya kwamba wao hawaoni hasara isipokuwa nyie tu?Kwani dipromasia ni kuwa unyanyaswe kila mara kisha ujibebeshe kwa udhaifu ndio dipromasia?
Kila upande unatakiwa kutumia hiyo dipromasia,
Kama wakenya ni bingwa wa dipromasia wasingezuia mahindi kihuni bali wangewasiliana na viongozi wenzao wa nchi yatokayo hayo mazao.
umepiga kwenye mshono!Usikute zito ana malori yake ya mahindi anaona sasa mafao ya ubunge yanakwenda na maji