Wananchi wanajua pesa nyingi sana zinapotelea kwenye kudhoofisha chadema kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo halisi wanajua trilion 1.5 imepigwa kisha CAG kutolewa kafaraHali ilipofikia CCM wamechanganyakiwa, yaani pamoja kujenga flyovers na Kununua ndege ila wananchi hatuwataki [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajiandikia tu humu Tz hatuna huo ujasiri labda baada ya miaka 30 ijayoNi hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Ya kigoma vina uhusiano gani na ufedhuli wa NECCCM?Zito kabwe au kabwela😅😅😅
Ya kigoma yamemshinda atayaweza ya taifa kweli
Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake kumbuka sasa watanzania wamechoka hakuna mabaya yasiyo na mwisho, wapo wapi akina chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein , mabutu, Abacha, Allbashiri na Iddy Amin Dada?Unajiandikia tu humu Tz hatuna huo ujasiri labda baada ya miaka 30 ijayo
Kaijage ajiandae kusomewa Albadiri za kutoshaMbona anawafokea NEC? Watamtetemesha muda si mrefu
Sikuhizi Mabandiko yako yamekuwa utopolo sana .. Heshima yako yote imeporomokaHuu pia ni uchozezi!
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P
Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa zawalipa ambao wengi ni wapinzani na wananchi wasio na vyamaFlyover ina msaidia diamond na wasanii wa CCM kushoot video tu
Paskal mayala kawa mtu wa hovyo hovyo Akili zake zimechuja kama Cyprian Musiba bado anawaza ndoto za uteuziSikuhizi Mabandiko yako yamekuwa utopolo sana .. Heshima yako yote imeporomoka
Ama kweli mayalla kikwetu tafasiri yake ni njaa na mwenye njaa lazima ajipendekeze kwa mwenye chakula ..
Hahaatuko upate kura 2 umekua umewehuka........ ndio shida ya kudhani una wafuasi kumbe ni wafuasi hewa!
HahaaHali ilipofikia CCM wamechanganyakiwa, yaani pamoja kujenga flyovers na Kununua ndege ila wananchi hatuwataki [emoji23][emoji23][emoji23]
Vigezo muhimu vya kukosa sifa ni CCM kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, jaji kaijage aikate CCM kwani wanetoa Rushwa kwa kununua jogoo kwa laki moja huko rufijiZZK, Acha Uchochezi.
ZZK , Umepoteza dira; huku ACT inakufia mikononi na jimbo unapoteza kule Kigoma usipojipanga kutoa hoja kwa wanakigoma.
N.B: Wakikosa vigezo ama wakijaza fomu kama vitoto vya chekechea dawa yao ni moja tu KA-TA.
Mbona wanaweweseka, au kuna madudu ya ukiukwaji wa sheria wameyafanya? Na kama yapo sheria itachukua nafasi yake na uchaguzi utafanyika tu. ZITTO KABWE USITUFOKEEZitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Umeanza lini kuimba taarabu?Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Pesa za maendeleo tunalipa Watanzania tunaolazimishwa kuwa wanyonge huku tunaweza kujenga Flyovers,SGR,Stigler's,Barabara za lami na madaraja hadi Jiwe na watu wake wanapagawa.Hawahitaji tena kufuata vipaumbele vyetu ni kutafuta sifa zao binafsi kwa kodi zetu.CCM ndiyo kansa inayoliangamiza Taifa letu na tunatakiwa kuwakataa mchana kweupe.Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa zawalipa ambao wengi ni wapinzani na wananchi wasio na vyama
CCM wameifirisi Tanzania kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni level ya America German oman japan China India na mataifa mengineyo Tajiri zaidi na pengine hata kuwa na kura ya veto, kutokana na kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi DunianiPesa za maendeleo tunalipa Watanzania tunaolazimishwa kuwa wanyonge huku tunaweza kujenga Flyovers,SGR,Stigler's,Barabara za lami na madaraja hadi Jiwe na watu wake wanapagawa.Hawahitaji tena kufuata vipaumbele vyetu ni kutafuta sifa zao binafsi kwa kodi zetu.CCM ndiyo kansa inayoliangamiza Taifa letu na tunatakiwa kuwakataa mchana kweupe.
Tanzania kuendelea kuwa maskini ni kwa sababu za kutekeleza miradi isiyo na tija kama Stiegler's Dam wakati Gas ya Msimbati-Tegeta ingetumika vema kwa hata nusu ya fedha tunayoitupa kwenye Dam construction tungeweza kufua umeme wa kutosha au kukarabati TRC na TAZARA ingekuwa mbadala wa SGR na TRC wangepewa uwekezaji wa kujenga SGR hatua kwa hatua.Hata hivyo watawala hawana dhamira ya kuboresha vya Mwl J.K Nyerere ili wapige 10% za miradi mipya.