Zitto ni mzito kwenye ubongo wake kama jina lakeNaona amekuwa msemaji wa CCM
Kuna gharama gani ya kurekebisha makosa tukasongaMi nashangaa watu kushupalia kosa la m na b
%kubwa ya pipo wa KG ni chawa wakutisha sanaWakujipendekeza huyo Siku hizi kawa mtetezi wa serikali, akomae atapata teuzi ya Ubunge
Wanaona ni "tuvitu" tudogo.Tunyamaze kimya.Holy moly!🤔Maandiko na matamshi ya rais kwamba nchi yetu Ina reserve ya bilioni 6 nuktakadhaa Dola za kimarekani ,si jambo dogo Kama Zitto anavyo sema , Ni vyema Kama Kulikuwa na makosa ikulu ije irekebishe mbele ya vyombo vya Habari kama ilivyo tangazwa kwenye vyombo vya Habari.
Lakini pia Kuna wasiwasi mkubwa ju ya maelezo ya rais kuhusu takwiimu za mufumko wa bei ya vitu nchini ,rais kasema ni 2-3 % lakini kiuhalisia mtaani mufumko wa bei ni mkubwa sana Kati ya 20-40 % ndani ya mwaka.
Tunajua amenunuliwa lakini ndio ajipe jukumu lote hilo?Amewafafanulia mandina kama wewe
Kwani amekuzuia kujadili? Au hujui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6?Hii nchi ngumu sana, mtu anakataza watu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe anakijadili.
Hadi anaandika haya si inamaana na yeye yumo kwenye hao anaowaita wamekosa kazi?
By the way who is Zitto aamulie watu nini cha kujadili na kipi sio cha kujadili?
Kwani amekuzuia kujadili? Au hujui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6?
Hujui tofauti ya B na M ndio maana umehoji na kukomalia upuuziHivi umesoma vizuri hata title ya hii thread kweli?
Kosa ni la msikilizaji au msemaji? Tufuate unachosema wewe au kilichosemwa na mhusika?
Kama na wewe unatetea upupu uliouleta hapa, bado upo kwenye kundi hilo hilo analisema huyo jamaa yako, hauna kazi ya kufanya.
Ingekua hatujui tofauti ya B na M tungehoji?
Una changamoto ya uelewa,si bure.Kwa hiyo milioni ni sawa na bilioni?Tulia.Soma uelewe nini kinajadiliwa.Hata vimbwenerehi wenzako watakuwa wanakucheka huko walipo.Hujui tofauti ya B na M ndio maana umehoji na kukomalia upuuzi
Kwakuwa ikulu ni mahala patakatifu Kama ilivyo heshimika na baba wa taifa Mwalimu J K Nyerere ,na Kama ambavyo hata sisi wananchi tuna amini hivyo .Wanaona ni "tuvitu" tudogo.Tunyamaze kimya.Holy moly![emoji848]
Wakujipendekeza huyo Siku hizi kawa mtetezi wa serikali, akomae atapata teuzi ya Ubunge
Hiyo,milioni 6000 ni nini? Na umepata sawa na bilioni sita kwa ku-convert kutokana na nini?Chawa muhuni weye!Million 6000 = bilion 6. Umeishia la ngapi we mbwiga?
Hujui tofauti ya B na M ndio maana umehoji na kukomalia upuuzi