Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Kwa hiyo shule zinajengwa na hela za chama?

..Chadema wasiwaige Ccm kwa kuwa na chama chenye matumizi makubwa ya kifahari.

..Wasiige ujenzi wa maofisa makubwa makubwa yenye gharama kubwa za matunzo na matengenezo.

..Wasiige ununuzi wa magari ya kifahari yenye gharama kubwa ktk kuyatumia na matengenezo. Ccm wana ma-V8 kwa ajili ya kila katibu wa wilaya.
 
Hii ni kupigana midongo ya nguvu
[emoji116]View attachment 2402253
JamiiForums609891976.jpg
 
Zitto hiyo Makao.makuu yako ilikuwa nyumba Ya Marehemu Maalim Seif. Lipumba aka mpora enzi za JPM. Hizi zama za mama na wewe Zitto ume mpora Lipumba. Ume paka Rangi za ACT tu. Huja jenga.
Jengo ya Makao makuu Dar (Taz Bara) akati huku huna Mbunge hata 1??
 
Hapa ndio tutegemee muungano wa vya upinzani kweli?
 
..Chadema wasiwaige Ccm kwa kuwa na chama chenye matumizi makubwa ya kifahari.

..Wasiige ujenzi wa maofisa makubwa makubwa yenye gharama kubwa za matunzo na matengenezo.

..Wasiige ununuzi wa magari ya kifahari yenye gharama kubwa ktk kuyatumia na matengenezo. Ccm wana ma-V8 kwa ajili ya kila katibu wa wilaya.
Ziko wapi Ford Ranger za M4c? Kwa nini hamkuomba suzuki Jimmy kwa ajili ya chama chenu.
 
Back
Top Bottom