Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Yeye kama yeye kadeclear kumpigia Lissu. Anawashaurije wafuasi wake?

Membe atampigia nani? Mbona kuna kigugumizi kwenye hii issue? Chama kimeshindwa kuafikiana!?
Mimi nitampigia kura yangu Mh. Lissu usiniulize mke wangu atampigia nani maana yeye nae ni mtu mzima atachagua kiongozi anayemtaka kwa sababu sisi hatuko kama makondoo ya CCM ambayo yote yanatumia kichwa cha likondoo limoja kufikia uamuzi wa hili au lile.
 
Mmemkausha damu mzee wa watu. Inamaana yeye haaminiki?

Utabiri umetimia

Bernard Camilius Membe: Mshumaa Unaowaka kwenye Ufukwe wa Bahari
 
Kwaheri Membe. Sasa nawe jitokeze hadharani kumuunga mkono rasmi Mheshimiwa Tundu Lissu. Hakuna mwingine zaidi ya Lissu 2020 ikulu.
 
Mzee mambo ya Act na chadema hayakuhusu. Zungumzia ya Lumumba.
 
Hehehehee mzee kachanganyikiwa......nileteeni gwajimaaa.....
 
Mmehamia kwa Zitto tena ni i kinawauma?? Kaunga mkono chadema wewe CCM kinakuwashia nini.
 
..Msando amechemka.

..labda alitaka Zitto amuunge mkono Jiwe.

..Na yeye Msando wana-ccm wamemkataa.
 
Yeye kama yeye kadeclear kumpigia Lissu. Anawashaurije wafuasi wake?

Membe atampigia nani? Mbona kuna kigugumizi kwenye hii issue? Chama kimeshindwa kuafikiana!?

Tumia akili... Kuna mtego unakwepwa... ccm, msajili na tume watajua hawajui
 
Mmechemka vibaya,wewe mwenyewe huna uhakika kama wananchi watakurudisha bungeni safari hii. Msaliti kamuunga mkono kibaraka. Hongereni
Unamjuwa Zitto au unamsikia tu? Kwa taarifa yako tu ata Magufuri agombee ubunge Kigoma mjini hawezi kamwe kumshinda Zitto.
 
Ni fahari na furaha kwa kila mpenda haki na mfuasi wa sheria.

Kwa maana kiongozi asiye toa haki na kufuata sheria huidharau katiba na hafai kuiongoza nchi.

Kwa maana katiba ni mkataba kati wa viongozi na wananchi wao.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
kwa hyo membe umemuweka Kama sanamu?.
Au unajua kuwa HAWEZI KUSHINDA NDO MAANA HAUMPIGII KURA?.
umebugi sanaaa.bora ingekuwa Siri yako mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…