Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Wametunga Sheria nyingi za kijinga ili Wapinzani wasiungane lakini imekufa kwao
 
Mzee wa kazi we utagombea lini kiti cha uraisi?

Naona kama unawatoa wenzako chambo, huku wewe ukiingoja Tanzania yenye waelevu wengi.
 
Sawa pia binafsi naomba siku za usoni wewe na Lisu muunde chama kimoja au kupitia vyama vyama vyenu vya sasa mgombee uraisi mwaka 2025.
La kuvunda halina ubani.
 

Hii ni akili kubwa Mungu akujalie iPhone haraka.
 
Duh....tamko hili Lina maana Sana...hasa kufuatia ajali yake mbaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…