Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Ahahahahaaaa

Teh teh teh

Maskini Membe....jasusi mbobezi....
 
Tumeshatumia bongo zetu.kura kwa Tundu Lissu.
Kwanini Zitto ameshindwa kucome out clearly bila chenga na “kuagiza” ACT wote wampigie Lissu - kama alivyofanya kwa madiwani na Wabunge?

Anamuogopa Membe au anahofia kuwa atakuwa anavunja sheria?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utashangaa Msajili wa Vyama anampa onyo Zitto kwa kusema atamchagua mgombea tofauti na wa chama chake
 
Yeye kama yeye kadeclear kumpigia Lissu. Anawashaurije wafuasi wake?

Membe atampigia nani? Mbona kuna kigugumizi kwenye hii issue? Chama kimeshindwa kuafikiana!?
Utawaweza Hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe jamaa mimi sikuwaji na sitawahi kukuamini kabisa ila kwa hili naomba unisamehe nimeanza kukuelewa
 
Mimi ni nani hata nipate kupingana na mpango na chaguo la Mungu Muumbaji? Mimi na familia yangu ya watu wanne, wote tupo pamoja na Tundu Lissu.
 
Kristo akubariki Kaka Zitto
 
Makofi ya heshima kwa Zitto Kabwe [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Membe lilikuwa ni pandikizi la Jiwe.

Hapa tunaenda na Lissu tu.
Pandikizi mbona huyu huyu msaliti alimchukua kuwa mgombea wake. Zitto, Lissu hao wote vibaraka tu wa mabeberu. Hamna lolote mnaloweza kuwapa watanzania. Kipondo cha uhakika kipo kwa ajili yenu Oct 28.
 
Ni Kama kazunguka tu, ila ukweli ni kwamba, mtu yeyoye atakaepiga kura kwa membe atakua ameharibu kura ya upinzani maana hata iweje Membe hawezi kushinda.
Kasema hivyo kwa diwani na Ubunge ila hajasema hivyo kwenye Urais.

Kwenye Urais kasema YEYE atampigia Lissu then kawaacha nyie mtumie bongo zenu
 
Ukimsoma Zitto kwenye uzi wake huu, utaona kuna mabadiliko yametokea, hotuba yake ya mwisho nilioisikiliza ilikuwa ya pale mpanda, alikuwa anaonyesha kuungana na chadema kutoka uraisi hadi udiwani. Leo anashawishi kumpigia kura Lissu tuu.

Zitto siye aliyetaka kubadilika, ila matendo ya chadema haswa anri zitokazo kwa mwenye kiti wao, ni za kipongamizi dhidi ya ushirikiano na kuungana mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…