Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Naungana na ww... Ntampigia kura yule aliyesema ilani yake ni Uhuru, haki na maendeleo ya watu
 
bora angenyamaza tu maaana anajishushia heshima na uaminifu ktk jamii, sisi tulidhani maamuzi ya kumteua membe yalikuwa maamuzi makini kumbe alikurupuka!! hili ndio tatizo kubwa la vyama vyote vya upinzani,kukurupuka.
 
This regime is so scared and having sleepless nights and this is beginning of the end
 
Hakuna upinzani hapa,naona siasa za ujanja ujanja wa kihuni tu,CCM ina sababu milioni za kuendelea kuongoza JMT.
 
Wenda A. C. T wazalendo wana maakili mengi kuliko CHADEMA NDANI YA LOWASSA.


28 nina jambo langu na wafuasi wangu.
 
Asante Zitto.
Wewe ndiye waziri wa fedha ajaye

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Zitto hata kwenye urais pamoja na kwamba wewe binafsi umatangaza kumpigia kura lissu lakini pia ungetangaza wafuasi wa ACT wampigie ndgu lissu kwa upande wa Rais pia ahsante.
Sheria zinabana.

Kuwa mjanja.
 
Huo ni Uzalendo wa viwango vilivyotukuka.
Uzalendo kusaliti mgombea wa chama chako?
Zitto huyuhuyu aliyefukuzwa chadema kwa sababu za usaliti katika chama ila leo kasaliti chama chake et unamwita mzalendo!

Huyu tabia ya usaliti hatoacha.
 
Wewe uliharibu ACT kuweka mgombea. Sasa pale kwenye karatasi ya uchaguzi jina la Membe lipo. Yaani shaghala bagala wanasiasa wa TZ.
 
Mimi nipo upande wa zitto. Haya mateso ya watanzania hakuna mwingine aliyeleta zaidi ya ccm. Ni wakati muafaka kuua huu mfumo wa waliojiwekea
 
Kuvurugwa kwa kuamua kumpigia kura wanayemuona anastahili kuiongoza Tanzania!? 😳😳😳
Kinachofanya astahili kuongoza hii nchi ni nini? ni kwakuwa anaifokea sana ccm na magufuli wake? Au kwa kuwa tu ni mgombea wa chadema ambacho ni chama kikubwa cha upinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…