Wanaombeza ZZK ni"Empty stomach which is a bad Political Advisor"Kati ya wanasiasa
wazalendo tanzania ambao bado wapo hai nadhani amebaki zitto pekee
wengine wote ni waganga njaa na wapo kimaslahi zaidi. Natamani siku moja
huyu mzalendo ashike nchi ili atuongoze kujenga taifa la
kizalendo
Mnafiki mkubwa huyu mtu
Unafiki wake uko wapi?
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
Amwambie na mama yake Shida Salum asipokee tuone UMWAMBA WAKE.
Haya tena lema yeye anasemaje kuhusu posho au anataka ziongezwe.
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
wahafidhina kwa unafki hamjambo - mamaye zito anahusikaje hapa?!
by the way mama yake zito c mbunge hivyo hahusiki ktk hili, we ulizia dj mbowe na zombie lema kama wanazipokea ama la?!
Mkuu naomba maelezo ya hizo tarehe..hii barua mbona ni ya 2011???inatumikaje kwenye bunge hili la katiba??.Kuhusu kutopokea posho Zzk ana haki yake ya maamuzi ila its better angechukua akazipeleka jimboni kwake zichongewe madawati na viti.its just a proper utilisation ya hizi gawana gawana za wabunge
Anatafuta pa kutokea!
Akatae basi na mshahara wa ubunge!
Awatumikie watanzania bure!
Anapesa nyingi huyu kwani, maisha yake tu ni ushahidi, kwanini asipokee akawapa wananchi wa jimbo lake wakarabati shule au wachimbiwe visima?
Unajua unacho kinena wewe, au unatiririka tu ilimradi.!??