Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo kuna Police wamevujisha mchongo ,maana hadi picha ya gari imepigwa kituoni na maelezo kuwa imebadilishwa namba.simply kuna mapolice hawakubaliani na hayo matendo
Wabarikiwe mno.
 
Wamuachie huyo dogo Kwa nini wanatisha watu? Lengo ni lipi hasa?

By the way Kuna watu wanamuharibia Mama,bila shaka bond ya Chadema/ACT Wazalendo mwakani itakuwa kubwa sana maana maslahi ya pamoja ndio yatawaunganisha.
 
Yana mwisho na huo mwisho ni mbaya sana .
 
Zitto atalifikisha mbali ili suala,kama kweli wanae wangemuachia tu kwakweli..
 
Ni hatua nzuri hao watekaji wamewezesha,ni wakati mzuri sasa wa Chadema na ACT kuungana kutetea haki ya kuishi na hatimaye kuunganisha nguvu katika kupigania maslahi ya umma kwa pamoja
 
Acha upuuzi wako hapa huyo Mama shetani kabisa alafu umemuweka kwenye Avatar kabisa na huenda na wewe leo ulikuwa kanisan huku kwenye Avatar yako umemuweka shetani wa kike
 
Hivi ushawai ona mateso ya mama wa kambo?
maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii....

Mwanake nikiumbe kingine kabisa hujawai sikia kajifungua na kutupa mtoto?

NIKAWAIDA
Inaumiza sana, wanawake basi tumekuwa viumbe vya ajabu sana
 
Hii nchi tusipoangalia kuna siku tutaingia kwenye machafuko ya raia against state machinery,ngoja watu wachoshwe na haya matukio ni suala la muda tu.
 
Kwa maana nyingine ni kwamba hayo ni maagizo kutoka juu
 
Maigizo hayo nondo siyo wa kutekwa
 
Zitto wewe ulijifanya kukalia kimya uhalifu wa huyo ajuza anayejifanya kukuita wewe "mwanae". Sasa endelea kukaa kimya kama itakusaidia. Ukichaa wa Jiwe wa kutaka kutawala milele tayari umemuingia huyo chura kiziwi.
 
Madaraka na Fedha Huwa vinaondoa utu, ubinadamu na haya! Au aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…