Halafu anawafundisha kuishangilia Simba.Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela
Ni kweli lakini tunaweza iokoa jamii kwa kuondoa vilevi,wakivikosa hawatolewa nao watakuwa salama kabisaHao watoto ni wa waumini wake na wazazi wao wameridhika.
Zumaridi hana shida yoyote ila wanaomuamini ndio changamoto kichwani kwao
Ni kweli lakini tunaweza iokoa jamii kwa kuondoa vilevi,wakivikosa hawatolewa nao watakuwa salama kabisa
ntoe hapo chap mie team nyetoHuyo hajapata mtu wakumpiga miti vizuri akili ikae sawa.
anasbo dronedrake mzabzab Maghayo hebu mpelekeeni moto huyo.
Kwqni akijiita Mungu we unapungukiwa na nini!?Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela
Aahahaaa,hawana jeuri hiyoShida iko wapi unaweza thibitisha kwamba Zumaridi sio Mungu?
Ukimpiga miti ndo uungu wake utaisha!?Huyo hajapata mtu wakumpiga miti vizuri akili ikae sawa.
anasbo dronedrake mzabzab Maghayo hebu mpelekeeni moto huyo.
Wacha kwanza tumalize ya DP World. Ndo urithi wa vizazi vya sasa na vijavyo ati.Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela
Kwahiyo huo mstari unamuhusu Mungu Zumaridi!?Nahumu 3:4
Kwa sababu ya wingi wa ukahaba wa yule kahaba mzuri, yule bibi wa mambo ya uchawi, auzaye mataifa kwa ukahaba wake, na jamaa za watu kwa uchawi wake.
Kwani ana tofauti gani na kuhani wako mkuu?Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela
Zumaridi kujiita Mungu kunampunguzia nini Yesu!?Huu ndio ukweli
Sasahivi tutaona hili jambo halituhusu ila matokeo yake yataigusa jamii yote hayatachagua kwamba huyu alinyamaza, au alishangilia au alikemea
Yesu atusaidie sana
Mfate kanisani kwake uone anafanya nini!miungu wapo wengi hata wewe unaweza kujiita mungu sipungukiwi kitu
Issue inakuja mungu yeye anafanya mambo gani kwenye jamii na yana faida na hasara gani
Huyu zumaridi ana kitu arafika mbinguni kachoka sana wanambuluza kwenye kiroba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali[emoji41][emoji41][emoji41]
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela
Kwani Yesu alikua anakula nini? Tofauti yake na Yesu Zumaridi ni K Yesu M, lakini wote ni binadamu.Mungu gani huyu anakula ugali, anajiremba na mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa? Iko hivi, serikali isimbughudhi imuache tuone mwisho wake ila asiue watu kama yule wa shakahola kenya. Huenda akawa ni mungu mtu
We ushawahi muona huyo Yesu!?Hujui
Tulia ujifunze
Yesu hata sura yake huijui,Bora ya Zumaridi unaionaNiko njiani naelekea huko