Dini ni kile unacho kiamini ..... mfano zamani wazee wetu waliabudu chini ya miti mikubwa wakaomba mvua na zika nyesha ..... kuna watu wana abidu wanyama kama ng'ombe ..... mwache mtu na imani yake kibaya asivunje sheria za nchi na taratibu zilizo wekwa au kama una agenda nyingine sema
Nafkiri hujanielewa .... nimejaribu kuzungumzia uhuru wa imani as long asivunje sheria za nchi .... naomba unisome vzriWewe unaamini kwamba zumaridi ndio anakulinda ili usife!???
Jamaa is real running out of brain,how unahusisha hili swala na CCM?!CCM inahusikaje hapo?
Ungeendelea kuelezea how hilo litaimpact the whole society ama taifa kwa ujumla?!!Huu ndio ukweli
Sasahivi tutaona hili jambo halituhusu ila matokeo yake yataigusa jamii yote hayatachagua kwamba huyu alinyamaza, au alishangilia au alikemea
Yesu atusaidie sana
Sio kweli. Anajua ni kitu gani anafanya vizuri kabisa.
Body Language is almost perfectly controlled. Yuko makini na kazi yake.
Ungeendelea kuelezea how hilo litaimpact the whole society ama taifa kwa ujumla?!!
Anaweza kuwa yeye ndo msaada wao kwa kila kitu so watoto lazma wamuamini na kumsikiliza na sio tatizo
Chukua hatua sio kumuachia yesu wakati watoto wanalishwa na kuvalishw na Zumaridi..
Mimi sijaona tatzo kwa anachokifanya Zumaridi ko sihitaji kufanya chochote zaidi ya kutamani aendelee kuwapenda watoto na kuwasaidia mahitaji yaoSijamuachia Yesu ila nimesema atusaidie
Kuchukua hatua ni pamoja na hili ninalofanya hapa
Na wewe chukua hatua usisubiri mwingine akufanyie, fanya kwa nafasi yako na yeye afanye kwa nafasi yake
serikali ni sikivuNiseme tuu
Pongezi kwa serikali makini ya Rais Samia Suluhu Hasan
Watoto wetu ndio urithi wetu
Mungu ibariki Tanzania
Alichokosea nini hapo, wewe inayemwamini mungu ulishawahi kumwonaZumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali[emoji41][emoji41][emoji41]
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela