mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Wanamwonea, kama hawataki, wafanye kama Rwanda kwa Kageme,Sahihi kabisa, uhuru wa habari na kujieleza usiwe kwa yale tu wengi wanayopenda kusikia bali hata kwa yale tusiyoyapenda.
Wanasema eti huko kuna internet ya bure!T'CRA tuambieni mbinguni kukoje sasa
Limesajiliwa?Japo simkubali huyu zumaridi namwona yeye na waumini wake ni vichaa ila naona wanamuonea. Kama ni marufuku wapige marufuku wote.
Wanamuonea na hoja zao mara hatumii bible kwani nani kawaambia yeye anahubiri ukristo labda kaanzisha dhehebu lake la kizumaridi
Hamna bando wala tozo.Wanasema eti huko kuna internet ya bure!
Heri nusu shali kuliko Shari Zima.Uliwaombea hivyo pia wanaorusha habari za Mzee wa Upako, Gwajima, Mwamposa, Geor Davie, Mwakasege, RC, KKKT, TAG, Bushiri n.k??
Wanamwonea, kama hawataki, wafanye kama Rwanda kwa Kageme,
Hakuna kujiita nabii au askofu na mchungaji, kama hujapitia elimu stahiki ya dini,
Pia uanzishwaji wa makanisa na madhehebu upitiwe upya,
Siku hizi kuna makanisa yameanzishwa na Wanaigeria ndio Mapaster,
Hapa Mbezi kwa Zena yapo mawili ya Wanaigeria,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mwambie Millard Ayo na timu yake aache kukurupuka kuhangaika kutafuta content ambazo hazina maana kwenye kwasababu ya kutafuta hela za laana... pesa za aibu zinafedhehesha...Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.
Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma
View attachment 2560940
Tv E pia waache kumpa Airtime yule mwizi /Tapeli anajiita MwamposaHii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.
Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma
View attachment 2560940
Mkusanya sadaka wa Mwamposya amekunwa kwenye mshono amepiga yowe!!Wewe ni kenge! Mambo ya Mwamposa achana nayo! Mbona tunapona Sana!
Kwani wamembana Zumaridi tu au wametoa sweeping statements ambazo zinaweza kuleta taharuki kwenye clergy?Kuna wanaojiita manabii/wachungaji... mwamposa, geor davie, gwajima anayefufua watu na wengine wengi wenye hadithi za kufikirika lakini wamewaacha sijui wanatumia vigezo gani kumbana Zumaridi kiasi hiki
Inashangaza sana wanaoamini Mwamposa na wafia dini wengine kumwandama Zumaridi , anyway kama kuna mtu alishafika mbinguni aje aprove wrong kwa ZumaridiMkusanya sadaka wa mwamposya amekunwa kwenye mshono amepiga yowe!!
Gwajima na wapo nae huko bungeniTena wahubiri wengine hua wanadai kua wana uwezo wa kumfufua mtu aliyekwisha kufa.
Naona jiwe aliwaharibu tcra...sijaona kosa na upotoshaji...huo ndio ukweli wa imani ya zumaridi na hachafui dini ya mtu kwani yeye hana mafungamano na dini yoyote.TCRA wamekuwa influenced ?
Kila mtu anajua Yule Zumaridi mgonjwa...
Wao wanaamini zile memes?
Wanatishika na memes??