JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni. Nahitaji kujua je...
8 Reactions
22 Replies
290 Views
Kuna hali huwa inanishangaza mwenyewe, nikiishiwa hela huwa nakuwa na hasira hasira tu za hapa na pale na pia kila kitu nakiona kero. Sitamani kufanya vitu ambavyo naona kabisa havitanipatia...
3 Reactions
4 Replies
100 Views
Eti Wakuu Nani anajua batani nyekundu kwenye Tochi ilikua na kazi gani, maana kuna mtu kanambia ilikua ni ya ku screenshot mwizi eti ni kweli?
7 Reactions
17 Replies
389 Views
Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani . Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu๐Ÿ˜†, mara hakuna wanawake pisi...
21 Reactions
86 Replies
761 Views
Baada ya kupotea JF kwa miaka 7 hatimaye nimerudi. Deadbody is Back
11 Reactions
113 Replies
2K Views
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu? Kwa nini hakuna mama ntilie...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Awali, Toka 2014 Mimi Ni mwendo wa nyeto tu. Sina time na kuhonga mademu. (napiga nyeto ya sabuni, mafuta na Ile ya nyuki). Pili, Pesa niliyokuwa nihonge nimejazia mtaji wa biashara. Maduka...
57 Reactions
179 Replies
8K Views
๐—ก๐—ฑ๐˜‚๐—ด๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚!!!! ๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜†๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ, ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฒ๐—บ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ. ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ผ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐˜†๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ, ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ. ๐—ฆ๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ...
5 Reactions
17 Replies
305 Views
Hatuwasikii kabisa, au walishazikwa tayari? Wenye majibu watusaidie. Nipo hapa kwenye kijiwe cha kahawa, tumekosa majibu.
5 Reactions
25 Replies
251 Views
Najaribu kuwaza. Kama marehemu Chivayo, angepewa u-rais kwenye nchi yake, kuna uwezekano mkubwa umasikini kwenye nchi yake ungeisha kabisa, na si ajabu kila raia angekuwa anamiliki gari ya maana...
2 Reactions
7 Replies
88 Views
  • Closed
Hadi natetemeka jamani niliyoyaona huko mjini, Tembo kajua kujidhalilisha na kumdhalilisha yule binti mmmmh!!! Haya wadada wa kusoma inch mtuambie ni mtulinga au kibamia!??? NB: Sielewi kwanini...
21 Reactions
443 Replies
12K Views
https://www.facebook.com/share/r/19des4S3mc/ Wimbo "Mama, Don't Close Your Eyes" wa mradi wa "Bjorn Bonebreaker" uliotolewa Septemba 2026 ni wa kutengeneza na umetengenezwa kabisa kwa teknolojia...
3 Reactions
18 Replies
279 Views
Cycles zako JF ni zipi? Kumbuka ukikaa karibu na uaridi(waridi) utanukia.. Lakini pia ndege wafananao huruka pamoja Una team na nani? JF Elites? Wambea? Wazee wa connection Ma bazazi?๐Ÿ˜€ Wala bata...
16 Reactions
216 Replies
2K Views
Salaam wana JF Wakati nikiwa mdogo nilipenda sana kucheza kombolela i.e Mchezo wa kujificha na kuanza kutafutana. Nikiukumbuka huu mchezo natamani sana nirudi kuwa kama mtoto. Je wewe utotoni...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari jamani Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta. Nawasilisha
10 Reactions
34 Replies
377 Views
Ni masiku machache sasa hajaonekana hewani mwanadada huyu,sio kwenye Comments wala kutoa nyuzi zake zenye kuchangamsha bongo zetu Na si kawaida yake kukaa kimya muda mrefu namna hii Wale tunao...
6 Reactions
38 Replies
385 Views
Sisi watanzania wote ni watani tu ,kwa desturi zetu hatuna shida tukitaniana. Hii bato ya wachaga na wasukuma naona kama imelazimishwa mno , hakuna bato hasa ya kiuchumi kati ya hayo makabila...
9 Reactions
26 Replies
315 Views
mungu Pombe mungu Uke mungu Nyama (BBQ). Pascal Mayalla, MBITIYAZA, Nyani Ngabu, walwa, nyoo Na nyama. _____&&&_______________________________ 1; mungu Pombe (walwa) anatumika kwenye kutambika...
11 Reactions
91 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ