Ndiyo Tunawaudhi!!
Wanakaa chini na kujiuliza kwanini tunawafuata fuata! Wanakereka tunapoandika na kuwajadili na wanaona tunawaandama pasipo sababu ya msingi. Wanachukia na wangekuwa na uwezo...
Date: 26 February 2009
Title: Tanzanian publisher admits Mozambican author not properly quoted
Author: Fernando Veloso
New Africa Press, the publishers of "Nyerere and Africa: End of an...
Kumezuka wimbi la baadhi ya viongozi wa CCM na jumuia zake kutaka Kikwete awe mgombea pekee wa urais kupitia CCM......hivi kuna tatizo gani kumpambanisha na wana-CCM wengine wenye nia ya kugombea...
Hili limeanza kuwashtua wanachama wengi wa upinzani baada ya kuona
sasa kila mwenyekiti anataka kwenda kugombea ubunge jimboni mwake
mrema ameanza kukimbilia moshi mjini,mbatia nae...
Wakati tumebakiwa na takriban miezi 6 kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge,vyama vya upinzani vimeendelea kuwa kimya kuhusu wagombea wao katika nafasi ya urais huku baadhi ya...
CUF mambo magumu Bukoba
na Ashura Jumapili, Bukoba
CHAMA cha Wananchi (CUF) katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kimeendelea kupoteza umarufu wake siku hadi siku kufuatia kuondokewa na...
Obama Atakiwa Aache Kuvuta Sigara
Rais Barack Obama wa MarekaniMonday, March 01, 2010 6:54 AM
Rais Barack Obama wa Marekani ametakiwa aache kuvuta sigara na daktari wake.Rais Obama ametakiwa na...
Raisi Jakaya Kikwete amehitimisha uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais kwa kumteua Bw. Ismail Jussa Ladhu, wa CUF na Janet Mbene wa CCM kuwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa...
Ni mtizamo wangu kwamba kutokana na viongozi wa vyama vikubwa vya upinzani kuamua kugombea ubunge,ni wazi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuongezeka idadi ya wabunge wa upinzani bungeni kwenye...
Ili kupunguza ajali barabarani, Serikali ya Tanzania imeamua kuweka Gavana kwenye kila Basi na Lori eti kudhibiti mwendokasi wa Magari haya.
Lakini Barabara zetu bado ni mbovu, zina matuta...
Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo.
Be it in Social aspect, economy, political...
Tetemeko lililotokea jana huko Chile ni moja ya matetemeko makubwa sana kutokea duniani. Vipimo vyake vilikuwa 8.8 kwenye mzani wa Richter. Hakika hili lilikuwa kubwa zaidi kuliko lile la Haiti...
Nadhani kuna mtu anatakiwa kusema; hawa viongozi sasa hivi wanawanchanga wananchi. Wanapita mikoani wakifanya shughuli za serikali huku wakiwaasa wananchi kuwa waangalifu na watu wanaopiga kampeni...
MBUNGE wa Sikonge, Said Nkumba (CCM) juzi jioni alimuacha hoi Waziri Mkuu Mizengo Pinda, pale alipowapa salamu ya shikamoo watoto ili pamoja na wazazi wao wamchague tena kuendelea kuwa mbunge wa...
Hivi kweli viongozi wanakuwa salama wanapo kuwa ziarani?
Hapa muheshimiwa Pinda hicho kiti alicho simamia kingeteguka angepona kweli hapo? Na mifupa hiyo ya uzeeni si ingekuwa balaa hapo tunaanza...
na Mwandishi Wetu, Urambo
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amemmwagia sifa kemkem Spika wa Bunge, Samuel Sitta akisema amejenga Bunge lenye sifa na umakini.
Pinda ambaye majuzi alimmwagia sifa...
First lady Salma Kikwete a.k.a Mama JK alikuwa mwalimu wa Mbuyuni shule ya msingi wakati JK alikuwa waziri.
First lady Salma Kikwete anayajua matatizo ya elimu na walimu kwa ujumla.
Je ametoa...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Maalumu iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia na kupendekeza maboresho ya sekta ya madini nchini, Jaji Mark Bomani, amesema hatua ya kampuni ya African Barrick...