wakulu
Nimepata tetesi kuwa repoti ya richmond kutojadiliwa, kwani mh six yupo bize na mambo ya msiba ivo kurudi dodoma wiki ijayo kwa ajili ya kufunga bunge tu...TiaTia maji
Details please
Hiki chama cha Mwalimu
Hakina tena nidhamu
Tunu iliyo adimu
Nani wa kumlaumu?
Anayo heri Mwalimu
Kwani sasa marehemu
Kutoona udhalimu
Hakika leo kigumu.
Kimepoteza...
Jamani naomba msaada kidogo kwa hili...najua kwenye bunge letu majuzi wameteua mwakilishi wa bunge la sadc baada ya kifo cha ndugu yetu mpendwa rich nyaulawa...naulzia je huyu ndugu akienda...
Wakuu nimekuwa najiuliza sana kuhusu hii kamati ya Mwinyi. Was it intelligent to come up with such idea?
Hadidu za Rejea ni zipi?
Kama moja ya hadidu za rejea ya kutafuta chanzo cha...
Na Mussa Mkama
HATIMAYE mtambo mmoja wa kufua megawati 10 za umeme wa kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), umewashwa jana na kuingizwa kwenye gridi ya taifa.
Mtambo huo ni...
By KARL LYIMO
Nov 2009
From: The East African Magazine
Former Speaker of the Tanzania Parliament, Pius Msekwa, may yet emerge as one of the few top leaders in the ruling CCM who see the party as...
Dear All,
Ni matumaini yangu kuwa wote mnafahamu kuwa kampuni ya VODACOM ilianza shughuli zake rasmi hapa nchini mwaka 2000. Mpaka sasa ina wateja wasiopungua milioni 6.
Kitu cha kushangaza ni...
Bado inaonyesha viongozi wa miaka iliyopita lakini tarehe ni ya leo 07/11/2009. Najua baadhi ya viongozi wapo humu ndani badilisheni kwani mnazo fedha za kutosha kuajiri vijana waliomaliza IT...
Huko nyuma nilisema kuwa huyu jamaa kapitwa na wakati...to me ni wazi kuwa bado yuko stuck kwenye enzi za politics of envy. Maana tangu ameingia hivi keshafanya lipi kubwa la kusema kuwa ahh hayo...
Katika uchaguzi wa Rais mwaka 2005 kulikuwa na wagombea wengi wakiwemo JMKkikwete (CCM), IHLipumba (CUF), FMbowe (CHADEMA)..na wengine...
Wakati huo kikundi fulani cha jamii (kinachopenda...
THE Members of Perliament (MPs), Mr William Shellukindo and Mrs Beatrice Shellukindo have lost a child, Wito Shellukindo, it has been announced.
The Chairperson of the National Assembly told...
Kwanza natanguliza samahani kwa wale wa CCM wote na viongozi wake ambao ni safi hii haiwalengi hao individuals ila kinachoendelea sasa kwenye huu mkutano wa Tume ya Maridhiano ni uthibitisho tosha...
"Rais Mwinyi ni mtu mwema na mpole, lakini ni kiongozi dhaifu; na upole wake na udhaifu wake unatumiwa na watu ambao wala si wema wala wapole kuhatarisha umoja na amani ya nchi yetu" - Uongozi...
Sikutegemea hata siku moja kuwa Tanzania itafikia mahali ambapo viongozi wenyewe kwa wenyewe tena wa chama kimoja kile kinachotawala wataanza kurushiana makombora ya shutuma, matusi na kejeli...
Wakuu leo nimejikuta nikitafakari sana kuhusu mustakabali wa nchi yetu. And after listening to the tune below nikajikuta nimemkumbuka FMES - "Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe" I love...
Naam, ni manyang'au - huishi pamoja, huwinda pamoja na hula pamoja. Tatizo la manyang'au ni kuwa hawaaminiani kwa sababu maisha yao hutawaliwa na tabia ya ulafi. Wakikaa mkao wa kula basi kila...
Wadau, Tanzania yetu ilipofika inahitaji chama mbadala, tofauti kabisa na hiki kilichotudondosha mikononi mwa mafisadi. Dukuduku langu linakuwa ni kipi hasa kitakachotumia udhaifu wa viongozi wa...