Hakika wasipomsifu mungu BASI jf tutanynyuka kumsifu MUNGU kwa ushind unaoendelea kwenye ya mafisadi wangapi walijua leo moto unaweza waka CCM kiasi hiki kisa walea MAFISADI na wanaokana...
EYE SPY: Our eternal ambassadors
Adam Lusekelo
THIS DAY
I THINK I know what happened, at one time everyone used to want to be a diplomat. When I was at the 'Chuo Kikuu' the entire...
I get so frustrated when individuals tend to oppose policies without giving alternatives to a proposed policy. Opposing without giving alternatives is a syndrome in Tanzania politics as in many...
Huyu Mheshimiwa sana, kanukuliwa mambo akisema mambo mengi, yamkini, gazeti la Mwananchi la leo limenukuu kama ifuatavyo kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomsonga Mkapa.
Hayo yote ni mambo mazuri...
Date::8/18/2009
CCM yawafunga midomo vinara wa kupinga ufisadi
Na Habel Chidawali, Dodoma
Mwananchi
HALMASHAURI Kuu ya CCM juzi ilifikia uamuzi wa aina yake baada ya kuunda kamati maalumu...
Dar es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya...
Mnasemaje hapo wakulu..........Ringing the bell somewhere?
Oil can be a curse on poor nations
By Moisés Naím
Published: August 18 2009 20:03 | Last updated: August 18 2009 20:03
Oil is...
2008-03-03 20:09:21
Na Mwandishi Wetu, Mpanda
Wale waliodhani Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bwana Mizengo Pinda ni mtu laini laini, basi wameula wa chuya kwani mzee...
Nadhani hii itabakia kuwa ni kauli ya kijasiri zaidi na ambayo imeonesha uzito mkubwa. Hongera mama Malecela kwa kuweka maslahi ya TAifa mbele.
Mama Malecela aliyasema hayo akidai kuwa hakuna...
Malecela, Chitalilo Vs Dr Slaa
Jana John Malecela alimjia juu Dr Slaa, na kumpasha kuwa hoja za ufisadi si za upinzani, ni za CCM ndio iliyoanza kuibua mambo yote. Amesema hoja ya EPA ilianzishwa...
na Prisca Nsemwa
MAASKOFU na wachungaji wa makanisa ya Pentekoste hapa nchini, wameandaa tuzo ya uongozi bora kwa ajili ya kumtunuku Spika wa Bunge, Samuel Sitta kwa kuuongoza vema mhimili huo...
(Angalia picha iliyoambatanishwa. Imetoka kwenye ippmedia.com, ikiambatana na habari kwamba Polisi wamekamata mashua (dhows) 8 zenye magogo mabayo yalikuwa yanapelekwa kusikojulikana)
It is...
Kwa wale waliomsikiliza na kumuona Kingunge akiongea na waandishi wa habari jana bila shaka watakuwa na maoni tofauti kuhusu kikongwe huyu. Binafsi namuona kama mtu aliyeanza kuchanganyikiwa...
Fall the amount of water and oil in the world which prompt the downfall in food production.
Je serikali yetu inampangoa gain?
Je kuna document yoyote inayoeleza mkakati wa serikali ?
:rolleyes::(
FISADI NI MTU GANI?
Barazani naingia, wakijiji nasalimu,
Swali nalipangilia, mkanijuze walimu,
Hili ninaulizia, kwenu ninyi watalaamu,
Fisadi ni mtu gani, mimi ninaulizia.
Neno hili la...
Look for this you tube, at some point in time, Italy leaders were like current Tanzanian leaders. I usually believe peoples power. If people decided today there is nothing that we can not do. And...
Kikwete aongoza kikao cha maadili kwa usiri
Imeandikwa na Habel Chidawali, Dodoma
Gazeti la Mwananchi
KAMATI ya Maadili ya CCM jana ilifanya kikao chake mjini hapa na kujadili mambo mbalimbali...
Kwa mtazamo wangu, wataalamu wetu wasomi wanapoingia katika siasa huwa wanasahau kanuni na miongozo ya Elimu yao.
Wengi hujikuta hawaelewiki tena kama na wataalamu wasomi.
Hata wakiandaa kwa...
Ilikuwa ni weekend ya vikao vya CCM, kuanzia kikao cha Kamati ya Maadili, then CC na hatimaye NEC. Je, kuna habari yoyote ya maana kutoka huko kwenye hivyo vikao ambavyo vimetawaliwa na usiri...