Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu...
Wakati vita na mauaji yanashika kasi kule Gaza, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa na waafrika walichukua upande, kutoa neno na kuomba. Vivyo hivyo hivyo wakati mambo yakishika kasi zaidi kule...
Kuna tuhuma kuwa baadhi ya viongozi wa awamu iliyopita na wengine wa awamu hii wako kwenye payroll ya serikali ya Egypt ili kuzima au ku sabotage kwa namna mbali mbali miradi ya kilimo cha...
Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka.
Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani...
Huu ni ukweli ambao kama Nape angeutafakari basi angekuwa ana heshima kubwa sana kwa Watanzania na kuepuka kutenda au kuongea mambo yenye kuleta karaha kwa wananchi. Nape katika maisha yake yote...
Mojawapo ya dalili kwamba huwezi kufaa kuongoza hata familia ni roho mbaya na visasi! Kisingizio kwamba wewe ni mwanaume ndio maana watu wanakudharau kwa hiyo unaamua kutumia upanga ukijua...
Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu.
Lengo la Uzi huu ni...
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu.
Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu...
===
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
14 Januari 2024
Wakili wa Mahakama Kuu achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa BAVICHA Chadema leo 14.01.25.
Je Wakili msomi Deogratius Mahinyila ni nani ?
Picha maktaba : Deogratius Cosmas...
Mama kama utasoma mwandiko wangu huu hapa jukwaani!
Mtu pekee ambae atakuwa loyal kwako kutokana na hofu aliyonayo baada ya yale ya kipindi kile ni Dkt. Bashiru Ally kakurwa hebu mpe nafasi...
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria zetu za uchaguzi zinataka mtu ukigombea nafasi yoyote ya kisiasa ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa kilichosajiliwa na...
Wanaokusudia kutetea nafasi zao kwa kutegemea pesa, bila kua na hoja mahususi, kuibua au kuchangia mijadala yenye maslahi mapana kwa wananchi wao majimboni na Taifa kwa ujumla, hali ya thank you...
Wakuu
Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote.
Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi...
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,
TZS 40.6Trilioni zitatoka katika...
Ni vita ya ndani kwa ndani, kuna Wabunge wanaende kupigwa hostile take over na wenzao
Kuna Wabunge wanaende kukutana na ushindani mkali wa kubakiza nafasi zao za kugombea ubunge 2025.