Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kwanza nikiri, sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania, nilikuwa tu shabiki wa chama hiki (CHADEMA) lakini nilivunjwa moyo baada ya Hayati Lowassa kupokelewa na kujiunga na chama hiki...
4 Reactions
2 Replies
190 Views
Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
2 Reactions
16 Replies
404 Views
Badala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman...
0 Reactions
20 Replies
865 Views
Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo. Ni ktk hali hiyo...
1 Reactions
6 Replies
316 Views
Hii ishu ya mgombea urais wa CCM inachekesha kwelikweli kisha inahuzunisha. Yaani anakuwa mgombea rasmi wa Chama, halafu fomu ya kuomba kugombea anajaza baadae! Ni kama movie inayochezwa...
23 Reactions
57 Replies
2K Views
Tume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura . Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye...
1 Reactions
19 Replies
963 Views
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema. Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Tanzania kuna mrundikano mkubwa wa Machawa dalili ambayo siyo ya kufurahisha Nimeona Ruto akiliambia Kanisa la Kenya kuwa Serikali yake inaungana na Rais Trump wa US katika kutambua Jenda mbili...
2 Reactions
18 Replies
427 Views
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa. Hii Vita...
6 Reactions
70 Replies
2K Views
Serikali inazo Hospitali zake katika ngazi mbalimbali. Inaendelea kuongeza idadi na ufanisi wa hospitali hizo kwa kadri ya upatikanaji wa fedha. Kitendo cha Kamati ya Bunge ya Huduma za Afya...
2 Reactions
5 Replies
451 Views
LEO 07/12/205 gazeti la Mwanahalisi kwenye ukurasa wa mbele limeandika kichwa cha habari kinachosema "MAWAZIRI WAVUJA" huku kukiwa na picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe...
0 Reactions
101 Replies
10K Views
Mbunge wa Chalinze kupitia chama cha mapinduzi Ridhiwani Kikwete ametoa kauli zinazooneshwa wazi kutothamini wala kujali michango inayofanywa na vyombo vya habari nchini. Alipokuwa akiwahutubia...
0 Reactions
107 Replies
27K Views
Wakuu, Kunaanza kunoga huko😂😂😂. ===== Wamachinga wa Soko la Wazi la Machinga Complex, jijini Dodoma, wameandaa sherehe ya kipekee kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo: 1. Elewa Sheria na...
5 Reactions
16 Replies
689 Views
Polisi mmetoa tangazo la kufunga barabara za mjini sasa swali langu je shughuli za kikazi zitasimama? kuna Wanafunzi wanasoma mjini huko je na wenyewe waje shule au wakae nyumbani? wekeni wazi...
8 Reactions
31 Replies
645 Views
Siku chache baada ya baadhi ya Wananchi kumjia juu Mbunge wao wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, ameamua kujibu. Wananchi wao wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende waligoma kupokea zawadi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake. Soma Pia...
18 Reactions
315 Replies
13K Views
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Jumamosi, Julai 11, 2020 jijini Dodoma, Wajumbe 1,846 wanatarajiwa kushiriki. Mkutano huo unongozwa na...
16 Reactions
390 Replies
34K Views
Akihojiwa na kituo cha Wasafi Media Mkongwe Profesa Tibaijuka amekiri wazi kuwa historia ya Tanganyika ameficha mchango wa Bibi Titi na Oscar Kambona. Amesema kulikuwa na kutokuelewa na Mwalimu...
0 Reactions
2 Replies
283 Views
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma . Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:- 1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na...
18 Reactions
39 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…