Imekuwa!
Kunapokuwa na mambo ya uchaguzi, mapambano ya kuwania nafasi au cheo na katika mpambano huo ukahusisha Mkubwa au Legend au mtu anayetetea Kitu alichokikalia kwa Miaka mingi kama Miaka...
Kuna vitu vinatokea kwa namna ya kipekee na ajabu kabisa. Ujio wa Lissu kurejea nyumbani akiwa bukheri wa afya una mengi ya kusimulia
Lissu aliyeondoka mahututi hajitambui kwenye machela baada ya...
Kwanza sina chuki na Mbowe wala ajenda yoyote dhidi yake kwanza tumetokea tarafa moja mimi naye ila nalizungumzia hili kwa maslahi mapana ya nchi na chama
Kwa sasa mbowe angeachia tu nafasi ya...
Erythrocyte ni red blood cell inayohusika na usafirishaji wa oxygen kutoka kwenye lung kwenda kwenye tissue za mwili vilevile inahusika na usafirishaji dioksidi kaboni(carbon dioxide) kutoka...
Naiona Tanzania ya kipekee sana baada ya Tundu Antipass Lissu kushinda uenyekiti Chadema.
Tundu Antipass Lissu aliyesoma shule ya vipaji maalum ya Ilboru na akasoma Sheria katika Chuo Kikuu cha...
MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu .
Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao...
Godbless Lema nimekwita mara 3 kwa herufi kubwa (X3).
Baba yako sio mjinga kukupa hilo jina na sio kama majina mengine hakuyaona.
Najua sasa hivi unamuonea huruma kaka yako Mboe lakini...
Hii ni fundisho kwa viongozi wote kwamba Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,na sauti ya umma si yenye kudharauliwa hata kidogo,ni wakati umefika sasa kwa viongozi wengine kujifunza haya yalitokea...
Wanabodi Habari Za Mchana...
Nimekaa nikatafakari kwa kina matokeo ya uchaguzi mkuu wa Chadema 2025, hasa katika ushindi wa Tundu Antipas Lissu Kwenye Nafasi Nyeti Na Ya Juu Kabisa Ya Chama...
Wakuu
Matokeo bado hayajatangazwa ila Godbless Lema anashangilia na kucheza pamoja na wajumbe mbalimbali.
Soma: Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu...
Wana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika?
Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni...
Wakuu,
"Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya...
John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki"
Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu...
Alipokubali kushindwa uchaguzi wa uraisi mwaka 2005, akiwa nafsi ya tatu na kwenda kukijenga chama, uungwana wake uliigusa Sheria ya asili na kumpandisha kutoka mwenyekiti wa chama cha siasa cha...
Maana wakati Anachochea Vijana wanauwawa yeye alikuwa anakula maisha Kwa Mabeberu.
Rais Daniel Chapo aliapishwa tena na Viongozi walialikwa akiwemo PM Majaliwa.Baadae Jamaa amerudi anadai Yuko...
Hellow!
Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA.
NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa...
CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano.
Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe...
Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa...
Wakati Lissu na timu yake wakiandaa mikakati mbalimbali bado naona anahitajika mtu Kama Salim Mwalimu katika safari ya ukombozi .
Nimemfahamu Salim Mwalimu tangia akiwa Vodacom katika idara ya...