Freeman Aikael Mbowe
Freeman Aikael Mbowe, kiongozi mwenye msimamo thabiti na maono makubwa, alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mara ya kwanza mwaka...
Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha...
Freeman Mbowe haamini yaliyotokea. Hakujiandaa kustaafu kwa hiyo amepata mshtuko mkubwa! Kuna mengi yamemponza lakini machache ni haya yafuatayo:
1. Kuondoa wanachama wenye uwezo katika nafasi za...
Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea.
Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana...
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi...
Wakuu,
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na...
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu...
Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi...
Hakuna ubishi kuwa umejitahidi kujenga chama chako kwa kadri ya uwezo wako kwa miaka zaidi ya ishirini ambayo ulikuwa Mwenyekiti.
Hata hivyo kwa jinsi mchakatao wa kampeni ulivyokuwa ikiwemo...
Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli vilivyotelekezwa.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU&...
Hellow Tanganyika,
Katika wimbo huu Kuna mashairi yasemayo,
"Alipoturejesha tulikuwa waota ndoto, hatukuamini macho yetu*2🎶
"Sio free mason, ni Mungu anetenda"*3🎶
Sio mazingaombwe, ni Yesu...
Takribani miaka 60 sasa Watanzania hususani tabaka tawaliwa, tumeishi kwenye ufukara uliotopea. Wakati huo tabaka tawala wakijineemesha kupitia msamiati uzalendo.
Miaka 60 ya uhuru bado tunapewa...
Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.
Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.
Kuhusu...
Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana.
"Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo...
Huenda Freeman Aikaeli Mbowe akatangazwa mshindi wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kujizolea kura zaidi ya 700 za wajumbe halali waliothibitishwa kua wapiga kura na kamati kuu.
Ni wazi na ukweli...
Mpo Salama!
Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya...
1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha...
Hayawi hayawi yamekuwa, Licha ya matarajio makubwa kutokana na ushindi huo, nawaona CHADEMA wanaenda kukomba wabunge wengi kwenye uchaguzi mkuu.
Hii inatokana na furaha ya wananchi wengi...
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake...