Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Katika uhalisa ndani ya taifa letu chama tawala ndio chama chenye nguvu kuliko vyama vingine ambapo Mgawanyiko huu wa sehemu mbili yani dhaifu na nguvu unaweza kuondoa demokrasia, usawa na haki...
0 Reactions
4 Replies
176 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa 1. Usuli “Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu...
4 Reactions
5 Replies
524 Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama kiongozi Barani Afrika na ndicho chama ambacho hutoa Dira na mstakabali wa Taifa hili. Ambapo mambo yake mengi yamekuwa kama Dira na muelekeo wa Taifa hili...
0 Reactions
25 Replies
417 Views
LISU Na KICHWA CHA YOHANA MBATIZAJI KWENYE SINIA Na, Robert Heriel Moja ya hadithi mashuhuri duniani hasa kwa Wafuasi wa Dini za Ukristo ni Pamoja na Kisa cha Nabii Yohana Mbatizaji ambaye kwa...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo CUF nayo ndio wale wale Sasa ni zamu ya chadema Nawatakia uchaguzi mwema!
6 Reactions
42 Replies
968 Views
Wakuu, Kama mnavyojua leo ndo ile siku ya Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA na saa chache kabla ya Uchaguzi huo kuanza Jeshi La Polisi limetoa msimamo wake Akizungumza na Samuel...
1 Reactions
6 Replies
363 Views
Wandugu Habarini... Kama mada tajwa hapo juu, naomba kufahamu sera za ACT Wazalendo na namna ya kujiunga na chama hicho. Nimewiwa kufanya hivyo kutokana na ndoto yangu usiku wa kuamkia leo...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na...
15 Reactions
28 Replies
616 Views
Tukosema Tanzania kuna maigizo ya upinzani mtuelewe Tukisema CHADEMA ni kampuni ya watu flani wachache msibishane na sisi Ushauri wangu kwa wanachadema kuliko kuendelea kuteseka na kuumia...
1 Reactions
37 Replies
987 Views
Hapo Jana, Trump ameapishwa kama raisi wa 47 wa U.S, moja ya hatua alizochukua ni kuitaka U. S kujiondoa haraka Sana WHO. Hakuna asiejua kuwa America inamchango mkubwa Sana kwenye budget ya...
2 Reactions
9 Replies
401 Views
Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari... Lakini all in all, nasema..; Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...! Lakini...
24 Reactions
81 Replies
4K Views
Akijibu maswali ya Wakatoliki wenzake waliohoji kwanini alimlaumu sana Mchengerwa alipokata majina ya wagombea wa Chadema Kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ilhali yeye mwenyewe anaitenda dhambi...
0 Reactions
2 Replies
341 Views
Uhusiano baina ya Tanzania-Czech kung’ara Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano duniani kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Wakuu, Tumemaliza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November, 2024 na sasa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tumeona hamasa zikifanywa na watu mbalimbali juu ya ushiriki wa wanawake...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho ! Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni. Swali. Kama Lissu...
5 Reactions
71 Replies
3K Views
Kama unabisha angalia wapambe Wao Timu ya Kampeni ya Mbowe inaongozwa na Dalali Wenje na Msanii wa Malaria No More Sugu Moto Chini Timu ya Tundu Lisu inaongozwa na Kibatala na Ponda Vipaji...
4 Reactions
13 Replies
404 Views
Uhuni huo uliofanyika na CCM akina Samia et al kujivika madaraka ya kuvunja Katiba ya nchi, Katiba ya CCM , sheria zoooote, upinzani sahau kuwa kupata katiba Mpya na Tumehuru ya uchaguzi! sasa ni...
5 Reactions
6 Replies
246 Views
Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu, Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama, Lakini kwenye huu Uchaguzi...
15 Reactions
83 Replies
2K Views
Mara baada ya Twaha Mwaipaya aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu Chadema na aliyekuwa mwenezi wa Bavicha katika uongozi uliopita kuenguliwa katika kinyang'anyiro hiko wanachedema...
2 Reactions
9 Replies
343 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…