Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana...
0 Reactions
11 Replies
724 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Akizungumza...
1 Reactions
9 Replies
276 Views
Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema. Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa...
0 Reactions
22 Replies
805 Views
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye...
35 Reactions
227 Replies
18K Views
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe amesema anashangazwa na Wanaume wanaojiua kwasababu ya mapenzi wakati Sensa inaonesha kuwa Wanawake wako wengi nchini kuliko Wanaume hivyo wanaweza kuoa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
..
2 Reactions
10 Replies
437 Views
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self. Mbowe anamjua Lissu in and out...
18 Reactions
127 Replies
2K Views
Na hii ni pamoja na hujuma za makusudi kutoka kwa wanachama, wapambe na viongozi wa mgombea wa kambi pinzani watakaokuwemo uongozini. Infact, bila umakini kwenye hili, chadema will be no more in...
0 Reactions
4 Replies
283 Views
Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye...
0 Reactions
7 Replies
396 Views
Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi...
2 Reactions
15 Replies
441 Views
Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa Mtu...
1 Reactions
4 Replies
166 Views
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa...
4 Reactions
3 Replies
329 Views
Japo matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA si rahisi kutabiri, je iwapo Tundu Lissu atabwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini? Je Mbowe akibwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini? Je...
0 Reactions
4 Replies
142 Views
Habari Wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni. Ataongea mengi na atakuja na ngonjera...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya...
1 Reactions
2 Replies
174 Views
Mh Mbowe alishupaza sauti kwa kujifanya yupo siriasi kwa kuwaonyesha wafuasi wake watiifu kuwa anayasema maneno yale mbele ya raisi ana uchungu mwingi ilihali anajua jambo lile lina baraka zao na...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Hilda Newton ameona fursa sasa anaifukuzia ila namkumbusha aweke akiba ya maneno tangu juzi amefungilia koki ya maneno nafikiri ananyemelea nafasi iwapo tu wale wanawake walioapishwa kama...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee, Je, katiba inasemaje na ni...
9 Reactions
131 Replies
6K Views
Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa Serikali ya awamu ya tano na sita...
3 Reactions
67 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…