Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa...
2 Reactions
8 Replies
303 Views
Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho...
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Kitabu cha Hesabu 33:55 ndio kinamsumbua Netanyahu hata sasa huko Palestine Hesabu 33:55 Lakini msipowafukuza kwanza Wenyeji wa Nchi hiyo wale watakaobakia Watakuwa kama Miiba kwenu kila Upande...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi...
15 Reactions
99 Replies
2K Views
https://youtu.be/wotqcW18b80?si=NFAt1ArFxLTbV80L Wakuu, Mbowe kachokwa na Wanachama na Watanzania kwa ujumla, sijui ni kwanini hasomi alama za nyakati...
11 Reactions
52 Replies
1K Views
Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki? Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi. Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema. Msikilize Ansbert ngurumo...
6 Reactions
51 Replies
1K Views
Wakuu imani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani. Nimeota mchezo mchafu katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMAwa uchaguzi wa Mwenyekiti. Nimeona katika ndoto kundi moja kutoka upande wa...
4 Reactions
14 Replies
422 Views
Ktk X account yake ameandika karibu chairman katika picha hii. Hii ni utovu wa nidhamu mkubwa ktk siasa Sasa Mbowe utamwita nani? Wakati yeye ndio chairman? Chama chenye dola kama CCM unaweza...
5 Reactions
16 Replies
858 Views
Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Wakuu, Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee? Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa...
7 Reactions
57 Replies
3K Views
=== Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo. https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
2 Reactions
10 Replies
450 Views
Tukubali kuwa Wenzetu wanapenda maendeleo.Nenda popote mijini Tanzania utawakuta,wawe wamesoma au kutosoma. Nenda Mpwapwa,Singida ,Babati utawakuta.Mnaweza kupata mshahara mmoja,lakini Mchaga...
2 Reactions
74 Replies
7K Views
Katika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu" Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa...
3 Reactions
17 Replies
298 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema siku moja kabla hajatoka Gerezani, Maaskofu watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye...
29 Reactions
210 Replies
7K Views
HISIA ZANGU, MAMBO HAYA KUMBEBA LISSU CHA Baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kutangaza mchakato wa uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama umeibuka mjadala juu ya nani ataweza...
5 Reactions
6 Replies
434 Views
Wakuu, CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025? ==== Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu...
6 Reactions
70 Replies
3K Views
Hellow Tanganyika, Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia? Kwamba korokoroni ndio Mahali salama? Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua...
1 Reactions
15 Replies
334 Views
=== CHAMA Cha Wamiliki wa Malori wa Kati na Wadogo(TAMSTOA), kimeonesha nia yake ya kutaka kuwekeza katika mradi wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi huku ikiomba kufupishwa kwa masuala...
14 Reactions
108 Replies
4K Views
Salama wananzengo, Kwa sisi wakazi wa Segerea kata ya Bonyokwa kunapitia adha kubwa sana ya miundombinu ya barabara inayoelekea Kanisa Katoliki na kwa mbunge wetu Bonnah Kamoli. Hii barabara ni...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…