Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akibainisha kuwa kampeni hiyo imekuwa msaada...
Utangulizi;
Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wakuu,
Mwaka 2022 Mahakama ilibatilisha kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha...
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?
Jina la jiji kubwa...
Kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, kimetoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali...
SIKU YA WANAWAKE YAWA AGENDA ILIYOPORWA NA MFUMO MPYA WA KITABAKA NDANI YA TABAKA
Ni muhimu kurejesha mwelekeo wa siku hii ili uweze kutumikia lengo lake la awali la kutetea haki za wanawake...
Wakuu
Serikali imemaliza tatizo la maji katika Kijiji cha Buswelu, Kata ya Nyanzande, Jimbo la Buchosa, kwa kujenga kisima kirefu kinachotumia nishati ya jua kusambaza maji kwa wananchi.
Ahadi...
Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .
Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo...
Mheshimiwa Waziri,
Napenda kukuandikia tena kuhusu changamoto za utendaji wa kazi katika Makao Makuu ya NHIF, Dodoma. Bado Ombwe la Kanuni Zinazotabirika Linasumbua Makao Makuu ya NHIF. Hivyo...
Bado tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa Mungu .
Dkt Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa ccm na wateule waliojiona wako karibu na Mamlaka ya Uteuzi , walijipa utukufu ambao hakuna...
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha...
Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa...
Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema.
Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija.
Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking...
Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.
Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha...
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli...
Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi?
Au mimi kuna kitu sielewi?