Unajua nini kuhusu uadui?
Unajua nini kuhusu urafiki na unajua nini kuhusu biashara?
Hebu jiulize mechi ya SIMBA VS YANGA kisha mtu kama labda Walter Harrison meneja wa Yanga akauze siri za kambi kwa sasa Simba au Try Again achukue mchoro mzima wa mipango ya simba ya miaka 10 ijayo aipeleke...