Hello money hunters!
Leo nimeona niungane na Tony robbins aliyesema",90%ya mafanikio ya mtu ni psychology and only 10% ni mechanics"
kwenye harakati za utaftaji psycholojia yako ina matter zaidi kuliko msuli wako,kuliko ile bidii yako ya kimwili,mental capacity ndio imebeba Siri za kuiteka...