arusha

  1. Pre GE2025 Arusha: Gambo asaidia malazi kwa manusura wa ajali ya moto

    Wakuu, Unatoa msaada ukiwa umevaa shati ya mama mitano tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ===== Zaidi ya wananchi 15 katika Kata ya Unga Limited mkoani Arusha, wamelazimika kulala nje kwa zaidi ya siku 10 baada ya moto uliotajwa kusababishwa na shoti ya umeme kuteketeza...
  2. LGE2024 Mbunge Tauhida na Mbunge Amina Mzee Waweka Kambi Arusha, Wataka CCM Ishinde Kila Kona ya Nchi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Amina Ali Mzee wameendelea na Kampeni Mkoa wa Arusha huku wakiwaombea Kura kwa Wananchi Wenyeviti wa Mitaa, Vijiji na Vitongoji wanaotokana na CCM ili CCM ishinde kwa kishindo nchi...
  3. LGE2024 Msimamizi Uchaguzi Arusha: CHADEMA walikosea, tukawaita kuwasaidia wakatugomea

    Wakuu, Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Arusha Ndg. John Kayombo amesema mvutano uliopo miongoni mwao na Wanachama na Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Arusha, unatokana na makosa ya kiutendaji yaliyofanywa na Chama hicho kwa kuandikisha mawakala...
  4. LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Kilimanjaro, Gervas Mgonja azungumza tuhuma zilizofanya akamatwe na Jeshi la Polisi

    Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kumshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wa mkoa huo...
  5. LGE2024 Kampeni ya Usafi Arusha: Makonda aingia mtaani kushiriki usafi kwa kuzoa taka na kudeki barabara

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
  6. RC Paul Makonda hapoi, atumia gari la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuhamasisha Usafi Arusha

    Wakuu Makonda hapoi, huko Arusha ameamka na hii ya kutumia gari la Zimamoto Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiendesha gari la jeshi la Zimamoto na Uokoaji huku akihamasisha zoezi la usafi katika Mkoa wa Arusha leo Novemba 26 2024.
  7. B

    Arusha na Dar es Salaam sio miji ya kutafuta upendo wa kweli, hiyo ni miji ya "utafutaji" maisha

    👉Hii miji imekaa kitapeli tapeli inapofika kwenye swala lz mahusiano Kila mtu kamtarget mwenzake be carefully 👉Linda moyo wako, nguvu zako zote, pesa na muda wako 👉Dares-Salaam na arusha ni kwa ajili ya biashara tu na si vingine
  8. D

    DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  9. LGE2024 Arusha: Aliyehamia CCM asema, wanaosema wagombea wa CHADEMA walienguliwa si kweli

    Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema jana Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM amepokea kadi za waliokuwa wagombea wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakati wa ufunguzi wa Kampeni...
  10. LGE2024 Katibu mwenezi Arusha: Wao wanaokoteza wagombea, CCM ina demokrasia

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha wakati wakiendelea na kampeni zao. Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  11. LGE2024 Godbless Lema awasha Moto wa Uzinduzi Arusha, CCM tumbo joto

    Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha. Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na...
  12. Arusha: Akutwa ndani na lita 70 za mkojo na kinyesi ndoo 6.

    https://www.instagram.com/reel/DCoi3G8C6Yl/?igsh=bWN5bnlwejNxYmsy
  13. P

    Institute of accountancy Arusha (IAA) Complaint Regarding Delay in Issuance of Bachelor of Computer Science Certificate

    am writing to formally express my complaint regarding the delay in receiving my Bachelor of Computer Science certificate, which I completed in 2023 at your institution. It has now been over one year and four months since I graduated, yet I have not been able to obtain my certificate. This delay...
  14. Taasisi Mbalimbali zatoa vifaa vya Tehama Kukabiliana na uhalifu Arusha

    Taasisi na Idara mbalimbali Mkoani Arusha zimeendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kupambana na uhalifu ambapo Idara ya maji na Benki ya Crdb wametoa vifaa vya Tehama katika kituo kikuu cha Polisi Arusha. Akiongea mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo Mkurungenzi wa mamlaka...
  15. LGE2024 Makonda awaomba viongozi wa dini kuhubiri amani uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani humo kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wajitokeze katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na amani itawale. Makonda amesema hayo leo Jumanne Novemba 19, 2024 alipozungumza na viongozi wa dini wa madhehebu kuelekea uchaguzi...
  16. Mwanzo wa mwisho wa nguvu na ushawishi wa siasa za Godbless Lema Arusha, ni wa fedheha sana badala ya heshima

    Tofauti zake kisiasa na viongozi wenzake ndani ya chadema Arusha na kanda ya kaskazini kwa ujumla, vimedhihirisha kuchokwa na kutohitajika kwake tena ndani ya chadema Arusha. Anaharibu zaidi pale anapojaribu kuwainstall wafuasi, rafiki, jamaa na ndugu zake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa...
  17. Pre GE2025 Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa

    Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa. Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo, Lemma alijiapiza hatagombea cheo chochote kanda ya kaskazini. Wakati Msigwa akikitifua ndani ya...
  18. DOKEZO Serikali tunaomba muitazame upya PSSSF Branch ya Arusha, huduma ziboreshwe

    Hapo vip!! Uongozi wa kipindi hiki tunaomba iongeze makali kwasababu Wananchi wanateseka na wengi wamekuwa waonyonge wanavyoanza kufuatilia haki zao au huduma katika Ofisi za Serikali. Wafanyakazi wengi wanaofanya kazi kwenye Taasisi za Serikali wamekuwa na kiburi, wanajiona Miungu watu na...
  19. LGE2024 Wanachama wa CHADEMA Arusha waliodaiwa kupigana wamjibu Lema, "Lema amekuwa mtu wa sarakasi, anachukua watu vichochoroni"

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema...
  20. Utetezi wa RC Paul Makonda RC juu ya ushiriki wake kumpiga risasi Lissu, kuvamia Clouds TV

    Kwa ufupi: Kauli na hoja za Paul Makonda na majibu yake: HOJA #1: Tundu Lissu ni mchanga kwake (Makonda) kisiasa. Kauli hii ina ukweli wowote? JIBU: ➡Ni mwongo, mzushi. Tundu Lissu yumo ndani ya siasa (active politics) tangu mwaka 1995 na mwaka huo aligombea ubunge Jimbo la Singida Mashariki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…