Chezeni movies au series zinazohusu historia au matukio ya kweli yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini kwetu.
Mfano, mnaweza kuigiza series zinazozungumzia Vita vya Majimaji, historia ya Mkwawa, Mirambo, Mangi Sina na Meri, Mwanamalundi, Bibi Titi, Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Nyungu...