caf

The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.

View More On Wikipedia.org
  1. CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika

    CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika. "Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo uwanja kama wa Azam Complex...
  2. Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

    Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025). Ally Salim(Simba SC) GK Aboutwalb Mshery (Yanga) GK Yona Amos (Pamba SC) GK Lusajo Mwaikenda (Azam FC) Nathaniel Chilambo...
  3. Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193]) 6. Manzi (Rwanda [emoji1206]) 7. Isac Mintah (Ghana...
  4. Hivi ndivyo mahesabu CAF - 5 Year Ranking itakavyokuwa endapo Simba na Yanga zitaishia nafasi ya tatu makundi

    Kwa mujibu wa Caf 5 year ranking system, kwa sasa Simba ikiwa nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13 kutokanq na alama walizovuna miaka mitano iliyopita, hivi ndivyo hesabu ya jumla ya alama zitakavyokuwa kwa vilabu hivi viwili endapo zote zitaishia nafasi ya tatu makundi. Coefficient ya mwaka...
  5. Yanga kwenda kucheza CAF champions Zanzibar, JKU na UHAMIAJI wamekataa kuchezea Zanzibar, Kuna nini?

    Timu za JKU na UHAMIAJI ni timu za Zanzibar kindaki ndaki kuliko Yanga. Hatukuelezwa kwanini JKU na UHAMIAJI hawakutaka mechi zao za mashindano ya CAF wachezee Zanzibar, lakini Yanga wanataka kwenda kucheza CAF championship mzunguuko wa pili Zanzibar. Kuna nini hasa hapo? Ufafanuzi...
  6. Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League. Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
  7. FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SCπŸ†šVital’O FC πŸ“† 24.08.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 19:00 #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL #GoliLaMama #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 2 Kibabage anachezewa...
  8. Simba Queens waendelea kushusha vichapo CECAFA Women waichapa Kawempe Muslim goli 3-0

    Hii timu hii inagawa tu doze huko Ethiopia kwenye mashindano ya CECAFA Women. Zilianza 5,leo 3. Kila la kheri na hongereni kwa kuipeperusha vema Nembo ya Simba. Soma Pia:Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers
  9. Kocha wa Uhamiaji afichua yaliyojiicha kwenda kucheza mechi zote Libya

    Kocha Mkuu wa Uhamiaji Ali Bakari amefunguka yote timu yake kwenda kucheza michezo yote miwili dhidi ya Al Ahli Tripoli huku nchini Libya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza Uhamiaji walikubali kichapo cha magoli mawili kwa sifuri kutoka kwa...
  10. B

    Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers

    Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni : Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia) Kenya Police Bullets (Kenya) Yei Joint FC (South Sudan) Simba Queens (Tanzania) PVP Buyenzi (Burundi) Kawempe...
  11. Goli la Mama lingeazia hatua ya makundi mashindano ya CAF

    Ni vigumu kumshawishi mtu kuwa Simba, Azam, Yanga na Coastal wamefanya usajili msimu huu sio kwaajili ya kucheza na Tabora United kwenye ligi, kwakuwa nafasi zao walizoshika kwenye NBC league walijua mapema kwamba watakwenda kushiriki mashindano ya CAF 2024/25. Namchukia kupita kiasi...
  12. Ali Kamwe: Mashindano ya CAF, hatua hizi za awali tunapeleka ujumbe kwa Vilabu vinavyopewa nafasi ya kuwa Mabingwa

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Watatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza...
  13. Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | 18.08.2024

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024 8' 0 - 1 Mayele F. 14' 0 - 2 El Karti W. 26' 0 - 3 Mohanad Lasheen 32' 0 - 4 Adel I. 2nd Half ' 0 - 5 Mohanad Lasheen 88' 0 - 6 Zalaka M.
  14. M

    Utaratibu wa timu kuanzia round ya awali halafu zingine zinasubiri round ya pili ni wa hovyoo sana

    Nadhani CAF inatakiwa kufanya review katika baadhi ya mambo yake . Hii ni taswira ya kibaguzi. Pia na suala la timu kubwa kuanzia ugenini nao huu ni utaratibu wa hovyoo sana.
  15. B

    Mashindano ya African Football League (AFL )hakuna mwaka huu?

    Mbona mashindano yaliyojizolea umaarufu Africa yajulikanayo kama African Football League (AFL )hayatangazwi mpaka sasa? Inamaana baada yakumuonesha mwaka jana msimu huu wamefuta ?
  16. Zakazakazi: Wanasimba njooni Chamazi Jumapili tulipe kisasi kwa APR

    Hakuna kitu kilichowahi kuniumiza moyo kama nilipomuona mnyamwezi mwanzangu Ismal Aden Rage akilia kama mtoto baada ya KUTENDWA na APR. Kwa kweli huu ni mkasa ambao wana simba wanabidi waujue na waje kwa wingi Chamazi kuungana na sisi kumlipia kisasi gwiji wao huyo. Ilikuwa mwaka 2012 baada ya...
  17. Simba hizo rank za CAF hazina uhalisia wa timu kwa sasa, viongozi wanazitumia kuwapumbaza

    Hii team Hakika Rage alikuwa nabii kuwaita mbumbumbu Matatizo ya team Yao hawayaoni, hawahoji chochote eanajidanganya eti ni team namba 6 Africa πŸ˜† Simba wanadanganywa na nafasi waliopanda kwa Africa nafasi waliyoipata kipindi kina Miquison wapo katika ubora wao. Tofauti kati ya Simba na pamba...
  18. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 . 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60 points 4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points 5. Zamalek (Egypt) – 48 points 6. RS Berkane...
  19. Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  20. D

    Coastal union inaenda CAF confederation hata pasi tano kupiga kwa pamoja haiwezi, noma sana

    Today I just watched the worst match among top teams in Tanzania. Coastal Union can't coordinate 5 passes, and today it's going to CAF. And do what? Singida or KMC could have done a better job. This is probably the worst team to go for CAF Confederation in Tanzania in recent years. TFF should...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…