changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, EWURA yatoa onyo wanaohodhi mafuta

    Kuna ujumbe wa Mdau katupia picha hii na kueleza kuwa hali ilivyo katika Mbulu Mjini Mkoani Manyara Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kupata Petrol ni baada ya takribani wiki wakikosa huduma ya Nishati ya Petrol. Hii inatokana na uwepo wa vituo vitatu pekee vya kutolea huduma hii muhimu na...
  2. Bima ya afya NHIF, suala hili lina faida lakini angalieni pia changamoto zake

    Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS". Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza. Haya sasa...
  3. Changamoto za kufanya kazi na Mtu anayekaribia kustaafu kwa heshima

    Nawasalimu, Twende kwenye mada. Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back. Amebakisha 1 year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi. Imekuwa changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya...
  4. A

    SoC03 Ndio una haki ya kulalamika, lakini umetimiza wajibu wako kama binadamu?

    Sote tunajua kuwa, kulalamika ni haki ya mtu yoyote pale ambapo anakuwa hajaridhika na jambo alilotendewa na upande wa pili. Hii husaidia kumjulisha mtendaji wa jambo hasi kujua kuaw, alilolifanya sio sahihi na lina athari kwa upande unaolalamika, na pia hutoa fursa kwa kosa lililofanyika...
  5. L

    Pendekezo la maendeleo ya dunia (Global Development Initiative) latoa changamoto kwenye fikra za kimagharibi kuhusu maendeleo

    Kwa muda mrefu sasa nchi za magharibi zimekuwa na sauti kubwa kwenye sera na mipango ya maendeleo ya uchumi duniani, kiasi kwamba imekuwa ni kawaida kuamini kuwa sera na nadharia za uchumi za nchi za magharibi ni sahihi. Inapotea kuwa nchi zinazofuata nadharia hizo zinaendelea kuwa nyuma...
  6. M

    Umepitia/Unapitia changamoto gani tangu umalize chuo mpaka sasa?

    Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo. Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu. Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
  7. Baadhi ya changamoto za madereva barabarani

    Ni takribani miezi 10 sasa tangu nianze kuendesha chombo cha moto (pikipiki), Ingawa sina route ndefu kwani maximum route zangu ni kilometa 40 au chini ya hapo. Kwa kipindi hicho cha miezi kumi nimeona baadhi ya makosa haya ambayo ni hatarishi na yanaweza kusababisha ajali: 1. Dereva wa...
  8. M

    "May be it's my fate..." kauli kama hii ina maana gani?

    Wakuu nawaamkua. Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya. Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado JamiiForum ni kisima cha maarifa katika nyanja mbalimbali za maisha yetu. Ninakuja na swali hapa...
  9. SoC03 Haki na Uhuru: Changamoto za Kupigania Usawa katika Jamii

    HAKI NA UHURU: CHANGAMOTO ZA KUPIGANIA USAWA KATIKA JAMII Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika jamii yoyote ile, haki na uhuru ni mambo muhimu sana katika maendeleo yake. Hata hivyo, kufikia hali hiyo si rahisi kama inavyoonekana. Kumekuwa na changamoto nyingi katika kupigania haki na...
  10. SoC03 Utalii Wa Ndani Tanzania: Faida, Changamoto Na Vivutio

    UTALII WA NDANI TANZANIA: FAIDA, CHANGAMOTO NA VIVUTIO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Utalii wa ndani ni muhimu sana kwa maendeleo ya kiuchumi na kiutamaduni ya nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, ina vivutio vingi vya utalii...
  11. SoC03 Mabadiliko ya mifumo ya elimu katika kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira umekua ni changamoto kubwa Katika nchi ya Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani. Changamoto hii Kwa kiasi kikubwa imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mifumo mibovu ya elimu Katika nchi yetu ambayo haikidhi vigezo vinavyohitajika kwenye soko la ajira na Dunia inayokuwa Kwa kasi...
  12. SoC03 Changamoto pekee inayoyakumba maisha ya wengi

    Kuleta changamoto zinazoyakumba maisha ya wengine ni kwamba wengi wetu tunakosa ujasiri wa kuthubutu na kufanya mambo mbalimbali yaletayo katika maisha yetu. Changamoto hii imekuwa ni kubwa sana kwa kizazi hiki. Wengi hupata mawazo mazuri ila wengi huishia kwenye hatua ya awali yaani ya...
  13. Nchi ya Uswisi Yajitosa Kutatua Changamoto ya Maji Ulanga Morogoro

    AWESO AAHIDI KUSIMAMA NA SALIM ILI KUMALIZA TATIZO LA MAJI ULANGA Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye na ofisi yake katika mapambano ya kuhakikisha wilaya ya Ulanga inamaliza Changamoto ya upatikanaji...
  14. SoC03 Utawala Bora katika Nchi za Kiafrika: Changamoto, Fursa na Mifano ya Dunia

    UTAWALA BORA KATIKA NCHI ZA KIAFRIKA: CHANGAMOTO, FURSA NA MIFANO YA DUNIA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Muktadha: Utawala bora ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii yoyote. Katika nchi za Kiafrika, suala hili limekuwa likijadiliwa sana kutokana na changamoto mbalimbali zinazokabili...
  15. Changamoto ipi unakumbana nayo katika mkoa wako au jamii yako na Serikali haijashughulikia?

    Hellow Africa 🌍 Tanzania kubwa lakini pia tuna viongo ambao tumewachagua kutoka kwenye jamii zetu kwa namna moja wanapatia na nyingine wanakosea. Je, kwako wewe katika eneo lake unalo is ishi au kwenu ulikozaliwa changamoto kubwa ni nini? Mimi kwangu ni barabara ni changamoto kubwa kutoka...
  16. Changamoto la Wagner waliorudi nyumbani, wengine wanabaka watoto, hawaachi asili yao

    Ikumbukwe hawa walikua mahabusu kule magerezani, ila Urusi kwa kuishiwa mbinu ikawapa uhuru baada ya wao kuwahusisha kwenye vita, sasa wamerudi mitaani na kuanza kupiga matukio, kunao wanabaka watoto wadogo wa hata umri wa miaka 10, Urusi inapitisha sheria ya kuwahasi.... One brutal alleged...
  17. SoC03 Uwajibikaji: Suluhisho la Changamoto za Sekta ya Afya na Ubora wa Huduma za Afya

    UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA Imeandikwa na: MwlRCT I. Utangulizi Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania? Uwajibikaji una faida nyingi, kama vile kuongeza uwazi, ufanisi, usalama, uaminifu, ushirikiano...
  18. G

    SoC03 Uwajibikaji: Changamoto na Fursa kwa Utawala Bora

    Uwajibikaji ni msingi muhimu wa Utawala Bora katika nyanja mbalimbali. Hata hivyo, katika jamii nyingi, uwajibikaji umekuwa changamoto kubwa. Kukosekana kwa uwajibikaji kunaweza kusababisha matumizi mabaya ya madaraka, rushwa, na ufisadi. Katika nyanja ya Afya, uwajibikaji unaweza kuboreshwa...
  19. R

    Zitto Kabwe: Bajeti haijajibu changamoto za watu

    ACT Wazalendo wamefanya uchambuzi wa Bajeti Kuu iliyosomwa siku ya Alhamisi June 15, 2023, uchambuzi uliowasilishwa na Msemaji wa Sekta ya Fedha na Uchumi ACT Wazalendo Esther Thomas na Naibu wake Juma Hamad jana tarehe Juni 17, 2023. Wakati akihitimisha zoezi hilo Zitto Kabwe alisema hayo ndio...
  20. Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Kufulia wanakuita kwa kimombo "Broke", kwa kinaijeria "sapaa", kusikiage tu! Nakumbuka niliwahi kuwa na bajeti ya 200 kwa siku, nakula mhogo wa kuchemsha imeisha hio hadi kesho, pesa ikakata nikawa nafunga safari natembea lisaa ni nje ya mji kidogo naenda kukwea miti ya mapera, nakula na huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…