Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu chanzo cha magonjwa mbalimbali yanayoathiri binadamu duniani. Wakati baadhi ya magonjwa yanatokana na mabadiliko ya mazingira, bacteria, na virusi 🦠, kuna madai kwamba magonjwa mengine hutengenezwa maabara kwa malengo maalum, kama vile udhibiti wa idadi ya watu...