Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club.
Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi kubwa.
Huyu DJ nahisi anapiga na mirungi, sijui kama siyo smart. Wanaanza vizuri, muda ukifika saa...