Ni mara kadhaa nimekuwa nikitumia mfumo huu wa ardhi kufanya maombi mara kadhaa bila mafanikio, kuomba upimaji, kuomba hati miliki, n.k.
Unaanza vizuri ila uwezi kumaliza mchakato wowote wa maombi ya aina yoyote bila kukutana na error au failure. Error codes zimejaa katika mfumo mzima, si Web...