elimu

  1. Uzi maaluumu wa kupeana hints za hii kazi wanayoenda kufanya interview "Editor II" Taasisi ya elimu (TIE))

    Wakuu kwema?? Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa? Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi? Hii...
  2. Msaada kwa mwenye elimu ya Biblia

    Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu. Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii napenda kusikiliza mziki au kusoma bibilia ili kurudi kwenye mood. Sasa leo katika kusoma kwangu...
  3. M

    LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  4. F

    Naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras

    Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it. So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani. Your contributions would be...
  5. LGE2024 CHADEMA watoa Elimu ya kupiga Kura ya Ndio na Hapana Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao. CHADEMA wametumia fursa hiyo pia...
  6. Y

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

    Habarini ndugu, Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom? Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo? (Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
  7. Wanasaikolojia najua elimu yenu ni kubwa sana ila punguzeni kusema Hallucinations ni mawenge kwa kiswahili

    Bakita ndugu zangu jamiiforum ni jukwaa huru, so natoa maoni yangu. So kama itawezekana naomba myajibu kitaalamu kwa kutoa kufanya research ya neno sahihi mbadala wa Hallucinations kwa kiswahili Ingawa swali sijauliza kwa kitaalamu. Unaposema Hallucinations ni mawenge huwezi amini watu wengi...
  8. Umuhimu wa Elimu katika Jamii

    UMUHIMU WA ELIMU. Dunia ya leo inahitaji utaalam/ufundi wa namna nyingi/Mbalimbali kwa mtu mmoja ili afanikiwe na kuwa kivutio katika soko la ajira na kuweza kwenda na wakati kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Ndio maana waswahili husema kuwa “Mgaagaa na upwa hali wali mtupu...
  9. A

    KERO Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijalipa wawezeshaji wa mradi wa SEQUIP kwa miezi miwili mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  10. D

    KERO Kucheleweshwa ulipwaji wa boom ( Meals and accomodations ) ya elimu ya juu 2024/2025

    Vyuo vyote Tanzania vya elimu ya juu vimeshafunguliwa. Kadhia kubwa iliyopo kwa Sasa ni bodi ya mikopo kushindwa kuwapatia wanafunzi boom yaan meals and accomodations kitendo ambacho kinasababisha wanafunzi kushindwa kumaliza kulipa ada, na hasahasa kukosa mahitaji ya msingi ya maisha kitendo...
  11. 0

    Hivi kwanini tunafundishwa Historia/Uraia kwa kingereza?

    Ukiangalia vita kati ya waisraeli na wapelestina utagundua moja ya silaha wanazotumia ni historia. Hapa kila pande inajitahidi kuonyesha kuwa kihistoria wao ndio wanastahili kumiliki ardhi wanayopigania. Hii inafanya historia kuwa ni moja ya silaha muhimu sana nchi inatakiwa kuwa nayo. Mimi ni...
  12. Elimu ya Ulinganisho wa Uwekezaji Kwenye Vipande vya UTT-AMIS na Majengo ya Kupangisha

    Tangulizi Uwekezaji ni moja ya njia bora za kujenga utajiri wa muda mrefu, na nchini Tanzania, vipande vya UTT-AMIS (Unit Trust of Tanzania - Asset Management and Investor Services) na majengo ya kupangisha vimekuwa maarufu kwa wawekezaji. Uwekezaji huu miwili unatoa fursa tofauti zenye faida...
  13. Elimu picha:Kazi ya defroster button

    KAZI YA DEFROSTER BUTTON kwenye gari ni kukausha au kuongeza joto ili kukausha vioo vya gari wakati wa hali ya mvua au unyevunyevu unaosababisha vioo kuwa na ukungu au majimaji na kukuziba kuona vizuri nje. HIZI BUTTON HUWA KWENYE DASHBOARD YA GARI MFANO Namba 1. Ukibonyeza hiyo button...
  14. N

    Umuhimu wananchi kupata elimu juu ya muonekano halisi wa vitambulisho vinavyowatambulisha Polisi

    Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana. Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
  15. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  16. Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

    Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba?? Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
  17. Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump

    Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa! --- MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump. Gharama ni $255,999 ( Zaidi ya milion 686 za Tz)kwa...
  18. B

    Kuna mahusiano gani kati ya kiwango cha elimu na kiwango cha mafanikio kwenye maisha? Mafanikio ni nini?

    Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema. Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
  19. P

    Bora huduma za afya ziwe bure kuliko elimu

    Serikali ni bora itowe huduma za afya bure kuliko elimu. Fedha za elimu bure zihamishwe kwenye afya ili madawa na huduma kwa ujumla vipatikane kwa urahisi kwa kila raia. Ukiwa na afya mgogoro hata hiyo elimu huwezi kuipata. Ada zirudishwe shule zote za serikali ila iwe kiasi kidogo sana na...
  20. Napendekeza elimu ya ufundi stadi ianze kutokewa kuanzia ngazi ya chekechea

    Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo! Haya yafanyike kwa haraka!! Tutaona miujiza hapa nchini baada ya miaka 14! Nipo tayari kwa hoja. Karibuni. PIA SOMA - SoC04 - Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…