ess

S, or s, is the nineteenth letter of the Latin alphabet, used in the modern English alphabet, the alphabets of other western European languages and others worldwide. Its name in English is ess (pronounced ), plural esses.

View More On Wikipedia.org
  1. Uhamisho wa watumishi kwenye mfumo wa ESS ni kitendawili kisicho na mteguo

    Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa. Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
  2. C

    Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  3. A

    KERO Mamlaka zishughulikie changamoto za Mfumo wa ESS, zinatusumbua Watumishi tunashindwa kujaza taarifa kwa wakati

    Kumekuwa na changamoto kwa takribani wiki moja sasa kwenye MFUMO wa ESS (Employee Self Service) kushindwa kupakia majukumu ya kiutumishi kwenye kipengele kilichomo ndani ya mfumo huo cha PEPMIS (Public Employee Performance Management Information System) bila kujua changamoto hizo zinatokana na...
  4. K

    DOKEZO Tapeli anapigia Watumishi wa Umma na kuwaambia Taarifa zao Binafsi, anazitoa wapi? Mfumo wa ESS upo salama kweli?

    Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi. Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye nilibaini ni tapeli alijitambulisha kwamba ni Afisa Utumishi Mkoa wa Mwanza, alikuwa akiwapigia...
  5. Error in retrieve partner's information in ESS

    Fail to retrieve partner's information in ESS transfer exchange request. Nini tatizo na jinsi ya kutatutua hii changamoto?
  6. K

    Transfer vacancy request at ESS Utumishi

    Wajomba, Hivi baada ya ku submit transfer vacancy request katika mfumo wa ess utumishi kinachofuata fuata nini, je wanakujibu kama nafasi IPO au?
  7. Changamoto hii kwenye mfumo wa ess katika suala la e-loan

    Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no is invalid wakati taarifa zote ziko sawa ingawa bado sijajua shida nini. Naomba kama kuna...
  8. Je, hili tangazo kutoka UTUMISHI kwenye mfumo wa ESS kuhusu wenye uhitaji wa kuhama vituo vya kazi kuwafuata wenzao wao limejitosheleza?

    Tangazo halijafafanua ni taarifa žipi hasa zipelekwe kwa mwajiri na kama hizo taarifa zinahitaji kuwekewa barua ya maombi ya kuhama au la. Na kama covering letters zinatakiwa. Je, huo muda uliowekwa unatosha kweli kwa kuzingatia usumbufu wanaokuwa nao hao wanaotakiwa kupitisha maombi kama wakuu...
  9. Maafisa mikopo wa crdb hawajapenda mfumo wa ESS ambao unawapunguzia ulaji

    Habari wanajukwaa! Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online. Kutokana na maendeleo hayo maafisa mikopo hawajafurahi hivyo kuamua kukwamisha mikopo na kuwataka watumishi...
  10. C

    Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  11. M

    KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
  12. Mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine kupitia ESS naomba msaada wenu

    Naombeni mnifahamishe utaratibu mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine hapa inakuwaje.. Naona inakuja option ya kuchagua mikoa badala ya kuja orodha ya taasisi then nichague taasisi ninayoitaka/ninayoitaka kuhamia. Hapa panakuwaje wakuu..?
  13. Watumishi mkifanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi washuhudieni watu ili waache kuleta nyuzi za kulalamika humu

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi. Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia...
  14. Naomba ufafanuzi wa hili la Mkopo kupitia mfumo wa ESS

    Habari wadau, Kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS. Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo. Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje hapo, mkopo utasomeka kwenye salary slip?
  15. M

    Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
  16. Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Niende kwenye hoja. Nimekuwa busy kusubiri daraja jipya wiki 2 saaa. Kila saa naangalia Mfumo. Nilipanda mwaka 2021, Juni tarehe 1, kutoka E kwenda F. Sasa nasubiri kwa hamu...sasa zaidi presha niliyonayo naona wanaodai wameshaona tofauti kwenye profile ya mfumo. Je nyie watu sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…