game

  1. Ukiwa handsome, kutongoza ni kama kucheza game in “Easy mode”

    Yaani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi. Mwishowe anafunguka kuwa alikuwa nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi. Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli, Pesa kidogo huku...
  2. Squid game ni kitu gani?

    Naomba kujua kuhusu huu mchezo kwa undani na unahusu nini?
  3. PS 3 GAME KWA AJILI YAKO AU WATOTO WAKO NJOO UCHUKUE

    Ps 3 hiyo, wafurahishe watoto wako kipindi hiki cha likizo 300 k Games za kutosha Nipe 300k tu Temeke. MORTAL KOMBAT GTA 5 NEED FOR SPEED ARMY WAR SPIDERMAN
  4. Naanza kuamini kua Azam ile game aliuza

    Vipi Team turudiane tuanze kurudiana? 😂😂 Mnamfunga Azam mnaanza kusema mrudiane na Yanga. Mliwaza kuomba kurudiana na Yanga kila kona mnapiga pambio leo kimewalamba😂 Nawaza sana nilisema kwa ule mpira wa siku ile wa Azam..wachezaji wachuñguzwe na viongozi pia wa Azam wachunguzwe na TAKUKURU...
  5. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  6. D

    For those who studied game theory in economics know what is real going on in Tundu Lissu's move

    In economics there is the so called game theory in which nush equilibrium is studied. Lissu is surely playing the zero sum game such that at time of breaking up of union helped by our president, it will be beneficial for him and the president since their missions will have reached. Through...
  7. Hii game ya Usma na Berkane itakuwa kipimo tosha Cha uhuru wa CAF ya Motsepe

    Kwa mara nyingine siasa zimeingilia hii game tutaona kama ni team zitafungiwa au ni nchi zitafungiwa jumla Au wataogopwa vile ni waarabu maana ingekuwa nchi kama tz Motsepe na genge lake wangeandika barua ya adhabu usiku huu huu Hii mechi haipo Dreams Zamaleki atangazwe bingwa
  8. Youth are technology game changers

    Youths are the technology game changers. They're creative and skilled with digital tools, making big changes in industries and society. With technology and global connections, they're breaking old rules, creating new ideas, and changing how things work in many areas. The power of young people...
  9. Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Tokugawa Shogunate... Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT. Binafsi nimeitazama hii series nakubali Writing, Cinematography, Culture depiction na Acting ni ya hali ya juu. Yaani ukikaangali haka kaseries...
  10. Mwisho wa Game of Thrones umenivunja moyo sana. Kwanini iishe hivi jamani?

    Kwa wale ambao you've been watching this show I don't know why the end broke my heart so bad inshort nimejisikia vibaya sana🥺😭 why the show had to end like that, why lakini🥺🥺🥺🥺🥺
  11. Kanye West calls out Kai Cenat and tells him not to joke about his clothes

    RAP
  12. Squid Game Actor Oh Youngsoo has been found guilty of sexual assault

    Sentenced to 8 months of prison, 2 years of probation and 40 hours of sexual violence education. actor Oh Young-soo has been found guilty of indecent assault in a South Korean court. The 79-year-old Netflix star became internationally recognisable in 2021 when he played the “Old Man”, Oh...
  13. Best Action TV Series

    1. Reacher (2022–Till date) 2. Percy Jackson and the Olympians (2023–Till date) 3. What If...? (2021–Till date) 4. Game of Thrones (2011–2019) 5. Monarch: Legacy of Monsters (2023–Till date) 6. Berlin (2023–Till date) 7. Obliterated (2023) 8. Jujutsu Kaisen (2020–Till date) 9. The Boys...
  14. Kwanini kuna Wasanii hawadimu kwenye game na ni wakali sana.!?

    Je ! Ni Management zao.. Ni Fedha.. Ni kutotoa hongo ktk Media Industry!? Mawazo yako mengi sana. Najua nawe una mawazo yako.. Kwa Mfano. Benson ni nini kilimfanya asiendelee kuwa msaniii mkali kabisa!? . Au huyu LodyMusic.. kwanini wanakuja na kuondoka.. pure talents. Embu tuwasikilize hapa...
  15. Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

    Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu. Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg Mtoto alikua kavaa kanga tu...
  16. Msaada kwenye tuta: Nawezaje kucheza game ya kwenye simu yangu kupitia smart tv yangu

    Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv. NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix hot 20i
  17. Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

    Messi kaingia dakika ya 83 wakati Ronaldo yupo jukwaani akiikosa mechi kwasababu ya majeraha. Je hii inathibitisha kauli ya Ronaldo aliyoitoa siku za hivi karibuni kuhusu ubora wa ligi yao? Na wale waliokuwa wanasema Saudia kuna hela hakuna mpira nadhani leo tumepata majibu
  18. T

    Politics is a strategic minds set- game; upinzani unatakiwa uwe na watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies

    Yes, politics is a strategic minds set- game; playing around the mind set of the target audience. The strategy is to capitalize on the weakness (udhaifu na ujinga), njaa, shida na manyanyaso ya target audience; hata kama baadhi ya vitu hivyo ni wewe umevisababisha, once you win their mind set...
  19. G

    Kutengeneza Dola mtandaoni: Ni kweli kuna Watanzania wanapiga kazi zenye mkwanja online na wamefanya ziwe ajira rasmi?

    Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +. kazi ziwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…