hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazee wa mwaka 2070 hali itakavyokuwa pindi watakapo kuwa wanasimulia wajukuu zao enzi za ujana wao

    😆 Just imagine sasa hivi umri ulionao mwaka 2070 utakuwa na miaka mingapi? Kizazi cha 1990 mpaka 1999 ndio watakuwa wazee wa busara 😀 HALI ITAKAVYOKUWA Enzi zetu kulikuwa na msanii anaitwa Meja kunta na Man fongo wakali wa singeli nyinyi watoto wadogo hamjui kitu Enzi zetu Raisi wa Yanga...
  2. Ni hali gani ulikutana nayo ukakubali kwamba kuna watu wana roho mbaya extra?

    Tupe ushuhuda wako
  3. Shambulizi la Israel kwa Iran ni shambulio lililofanywa kwa nidhamu ya hali ya juu sana”it was a clear demonstration of capability, intent and will.”

    kwa kile tunachosema on the Israeli air raids into Iran day before yesterday. This was more than a precision strike, it was a clear demonstration of capability, intent and will. Hii ilikuwa zaidi ya historia ilofanyika kwa usahihi, ilikuwa onyesho wazi la uwezo, nia na mapenzi ya nchi yao...
  4. Hali ya kutokewa na mizimu inadhihirisha wazi kuwa kuna maisha baada ya kifo

    Let say somebody you know interiorly has fallen into the bad land (Being burried), baada ya mazishi na maziko, huna hili wala lile umechil, hujavuta bangi, hujanywa pombe, huna stress za ziada ukitoa maziko, unashangaa mwanga huoooo, unaskia sauti "Shiuuuuu", kuangaza kwa umakini huyoooooo...
  5. G

    Kundi kubwa la watanzania wanao ishi maisha standard ya uhakika ni waajiriwa, wafanyabiashara wengi hali ni mbaya

    N:B: Waajiriwa wa serikalini Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
  6. G

    Kusota kwenye maisha haimaanishi kuwa baadae utatoboa, unaweza kudumu na hali hio au iwe mbaya zaidi, si kila msoto una nuru.

    hii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k. dunia ni katili sana Si kila hali ngumu huwa inapita wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira na wanachokiweza zaidi ni kazi walizosomea wapo watu wame haso sana kwenye biashara lakini hakuna...
  7. R

    Unapokutana na hali ya usaliti (Snitch) Ughaibuni ufanye nini?

    Habari za masiku tena, mwana JF. Mara nyingi, tuwapo hapa Tanzania, tunaamini wengi wetu waliopo nchi zilizoendelea, i.e. Europe au U.S.A., wameshaagana na matatizo; kazi yao ni kuokota tu vibunda. Sasa, ninaye rafiki yangu ambaye alipata nafasi ya kwenda U.S.A. kimasomo. Akiwa huko, amekutana...
  8. Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

    Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena. Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo. Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda...
  9. KERO Hali ya Vyoo vya Hifadhi ya Olduvai inatia kinyaa! Hizi fedha wanazotozwa Watalii zinafanya kazi gani?

    Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
  10. Tunauza Ringlight Original Na Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu

    Boresha Video na Picha zako kwa kutumia Ringlight zenye Ubora wa hali ya juu. Zinafaa kwa wafanyabiashara na watu binafsi. 1. Saluni za kike 2. Saluni za kiume 3. Watu wa urembo na makeup 4. Wafanyabiashara mtandaoni 6. Watengeneza maudhui mtandaoni (Content Creators) 7. Watu wa YouTube 8...
  11. A

    Hii hali kwenye biashara siyo ya kawaida

    Mnamo mwezi wa nane mwishoni nilifungua biashara ya kuuza kuku Wa kukaanga pamoja na viungo vyake. Wakati nimeanza mauzo yalikuwa hafifu ikawa hata elfu 5 haifiki ya mauzo, ndo nikaja na Uzi wa kuomba ushauri Wakajitokeza waungwana wakanipa msaada wa mawazo Miongoni mwao ni dada angu kutoka...
  12. Kwenye Haki za Wananchi, Awamu Hii, Nchi Ipo Kwenye Hali Mbaya Kuliko Awamu Yoyote

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo. Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii. Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
  13. Ni ngumu sana kumpa Mwanamke anaeweze kuvumilia kila hali ngumu za maisha unazokumbana nazo Mwanaume

    Intro: Bila salamu. Literature Review: Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa...
  14. KERO Vyoo vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar vinahitaji maboresho, angalia hali ilivyo

    Licha ya kuwa Viongozi wengi wa Kiserikali wamekuwa mstari wa mbele katika kusisitiza usafi kwenye mazingira ya ofisini na hata kwenye makazi ya watu lakini upande mwingine wapo ambao huwa wanasahau kujitazama wao. Hivi ndivyo hali ilivyo katika Vyoo vilivyopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  15. X

    Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  16. B

    Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

    Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai. Please advice
  17. Nitaepukaje hali ya kujisikia mchovu baada ya kula?

    Hiyo hali imeshakuwa kero sasa! Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala. Kuna jinsi ya kuiepuka hiyo changamoto? Asanteni!
  18. Nimechoka kujifanya najua: Ukiwa unasoma utabiri wa hali ya hewa, ile % kwenye mvua inamaanisha nini?

    Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua. Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%. Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini? Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo...
  19. Hatimae siku imefika ikiwa na hali nzuri.

    Ni hivi leo naenda kujitafunia mchumba mtu. Lengo la kuwaletea huu uzi ni kuwaasa vijana wa kiume walio kwenye miaka 19 hadi 29. Kuwa msiwekeze kwenye mapenzi jiwekezeni kwenu wenyewe. The more utajiwekeza ndivyo nafasi yako kubwa ya kufuatwa na hawa watoto wazuri inakua kubwa. Japo maboya...
  20. Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

    Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani. Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…